technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,559
- 57,869
Mwaka 2010 waliotaka kumchallenge Kikwete ilikuwaje? mwaka 2000 je kwa Mkapa ilikuwaje? Membe kugombea urais mwaka huu anatumwa na nani? hata angekuwa yeye ndiye rais angekubali mtu mwingine apewe form? Sikubaliani Na Magufuli kwa mambo mengi ila kuna ajenda ya siri anayo Membe.
Membe anatumika kupoteza tension ya uchaguzi ndani ya vyama vya upinzani na kuteka social media ili wagombea wa upinzani wakose platform.
Membe ni mtu hatari kwa upinzani kuliko hata ccm kwenyewe mimi binafsi kama kuna chama cha upinzani hasa CHADEMA AU ACT watamkaribisha Membe nitamchagua Magufuli hatuwezi kurudisha nchi kwa hizi ngedere.