Membe anatakiwa kuchukuliwa hatua kwa ufisadi huu alioufanya

Hapa naweza kusema kilichokuuma mleta uzi ni kuhamia ACT tu hakuna zaidi, mengine yote majungu na fitna kama lowassa, mpaka leo hamjawahi kupeleka hata jalada moja la kesi yake mahakamani, na mfalme wenu siku akitaka kuhama mtakumbusha meli ya mv dar ES salaam na wale samaki tuliopita mabilioni yetu kwa kazi zake za sifa,
 
Mkuu fisadi ni fisadi tu awe ccm chadema au Act
 
Apewe Ufagio na Overall akafagie hospital ya Amana,,
Duuh kumbe nchi Hii imeibiwa sn ndiyo maana kila MTU alijiona anayo sifa ya kuwa Rais
 
Kwani siku zote hukuleta hizi tuhuma?
Kwanini mtu anapotaka kuhama chama ndio anaanza kuandamwa?
Akionesha nia ya kuhama ni shetani,ila akibaki kundini ni malaika...
Double standards.
Kalewa dozi huyu,muache mfa maji. Ngoja ahame kweli ndio kiama chao kije
 
Kwani siku zote hukuleta hizi tuhuma?
Kwanini mtu anapotaka kuhama chama ndio anaanza kuandamwa?
Akionesha nia ya kuhama ni shetani,ila akibaki kundini ni malaika...
Double standards.
Kule wanalindana labda umuudhi .........."ukitoka au ukitaka kutoka" ndo shughuli zidi yako inaanza.
 
Kwani siku zote hukuleta hizi tuhuma?
Kwanini mtu anapotaka kuhama chama ndio anaanza kuandamwa?
Akionesha nia ya kuhama ni shetani,ila akibaki kundini ni malaika...
Double standards.
Nani kakwambia Mimi ni ccm?

Alafu fisadi anatakiwa kushugulikiwa popote alipo iwe ccm,Chadema hata Act

Membe arudishe pesa aliyokwapua kwenye wizara yake ya mambo ya nje .

Kuna tatesi kuwa anataka kuamia ACT Kabla ya kuamia ACT wazalendo anatakiwa arudishe pesa za ufisadi alizofanikisha kukwapua akiwa waziri.

Magufuli nashauri amshusugulikie huyu mtu maana amefanya mambo mengi ya kulitia taifa hasara.

Ukisoma kwa umakini Vitabu vya budget ya wizara ya mambo ya nje kwa miaka 10 mfululizo kuna mambo ya kushutua kama si kushangaza.

Kipindi yupo wizara ya mambo ya nje kuna account za nje ya nchi zilikuwa kila mwaka wa budget zikiwekewa pesa kwenye nchi mbali mbali wakati pesa hizo zilikuwa hazifanyi kazi yeyote .

Pesa hizo ziliwekwa eti kulinda account hizo za bank zisiwe dormant wakati mwisho wa mwaka hakuna pesa zilizokuwa zikirejeshwa.

Membe alifaidika na pesa hizi haiwezekani account zaidi ya 60 kwenye nchi mbali mbali kila account unakuta inawekewa dollar 3, 000 mpaka 5,000 ili tu kuilinda account hiyo isifungwe alafu mwaka unaofuata zinawekwa tena bila kujari zilizowekwa mwaka uliopita wa budget zilienda wapi na zikaendelea kuwekwa kwa miaka 10 mfululizo.

Kwanza hizo account nyingine nilikuwa hewa.

Kiufupi Membe anatakiwa kuchunguzwa kwa ufisadi alioufanya kupitia wizara ya mambo ya nje ..

Nitashangaa sana hata Zitto kama atampokea pale ACT wazalendo wakati Zitto mwaka Jana ndiye alikuwa wa kwanza kusema Membe amekwapua pesa za Gaddafi.

Kiukweli Membe naye ni fisadi tu kama walivyo mafisadi wengine kaikamua sana hii nchi kupitia wizara ya mambo ya nje.

Nashauri Magufuli amshugulikie kweli kweli bila huruma hawa ndio wamelitia taifa hasara ya muda mrefu.
Mmmmh ulikuwa wapi kuongea sasa msikie anataka kuhama ndo useme ni fisadi Na pindi akiwa huko mlikuwa kimya Na kutuaminisha mafisadi ndo wameenda chadema. Ama kweli ccm ni dondandugu hata siku moja magu akihama mtasema ukweli kuhusu ufisadi wa nyumba za serikali Na udikteta..
 
Nani kakwambia Mimi ni ccm?

Alafu fisadi anatakiwa kushugulikiwa popote alipo iwe ccm,Chadema hata Act

Nani kakwambia Mimi ni ccm?

Alafu fisadi anatakiwa kushugulikiwa popote alipo iwe ccm,Chadema hata Act
Ni wapi niliposema "CCM"?
Achilia mbali kukuita wewe ni CCM.
 
Kibaraka wa Membe ni wakati wako sasa...
Hata hivyo baada ya uchaguzi mkuu na hasa hivi sasa kwa anachotaka kukifanya namuunga mkono.
Anataka kufanyaje tena kwenda ukawa? Maana niko bize na kutafuta mikopo huku siasa nimeacha ebu nijuze.
 
Kabla hajahamia ACT mlikua kimya.Leo ndio mmefufuka sasa

Siasa za nchi hii ni shida sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom