Membe ananikumbusha Kolimba

Membe ananikumbusha Kolimba

Lumumba baada yakutulia ndo kwanza gonjwa limeanza symptoms nyingine!!Magufuli awe tayari kuvunjwa moyo na kusalitiwa na watu asiowategemea upepo mkali sana utapita tena wa watu wanaoijua serikali vizuri na vyombo vya dola vyake na wana influence kubwa ndani na nje ya Tanzania
For me namuona Magufuli ni kama Rais wa miaka mi 5 tu!!
 
Membe ni kachero wa "zamani". Kuna mambo amenusa kimya kimya. Inawezekana anazungumza kwa niaba ya "wenzake" hasa Wanasiasa na Wafanyabiashara.

Ila pia kuna mambo amezungumza ni ya msingi kabisa. Kama ukubwa wa Serikali.

Kingine nafikiri ni namna ya ku~neutralize nguvu za Magufuli dhidi ya Chama. Hili itakuwa kuna wengine wazito nyuma yake. Kumfanya Jpm ni mdogo a~align na chama effectively.

Tutaona hayo kwenye vikao vijavyo vya Chama. Hayo ni maandalizi tu.

Tutaona
Ukachero mzuri ni pale unapokuwa ndani ya kachero kama chombo. Unapotoka nje ya msimamo wa kachero chombo (siyo kachero mtu) unakuwa huna nguvu ni kama mamba akiwa nje ya maji. Kama Membe angeyazungumza haya ndani ya kachero chombo angeheshimika zaidi kuliko kuzungumza kama kachero mtu. Ni vigumu kumpambanua kama anasema kama mwenye Taaluma ya ukachero au ni hasira za kushindwa uchaguzi na kutufanya Watanzania tujutie kuacha kumchagu yeye tukamchagua Magufuli
Kama ana nguvu na uwelewa kuliko kachero chombo ama asingegombea ama angeteuliwa kupeperusha bendera ya CCM kugombea urais wa Tanzania. Kama kagombea na kashindwa huku kachero chombo kikisimamia mchakato wote na huku hakujua kachero chombo wanamtaka nani inaonesha yeye si kila kitu hata kama ni Kachero Mwandamizi. Namjua ni mtu wa fitina sana, namkumbuka alivyomfitin Hans Kitine akiwa ubalozi wa Tanzania Marekani.Fitina yake ilikuwa na malengo ya kisiasa. Nani atathibitisha leo kama hana malengo ya kisiasa?
 
Lumumba baada yakutulia ndo kwanza gonjwa limeanza symptoms nyingine!!Magufuli awe tayari kuvunjwa moyo na kusalitiwa na watu asiowategemea upepo mkali sana utapita tena wa watu wanaoijua serikali vizuri na vyombo vya dola vyake na wana influence kubwa ndani na nje ya Tanzania
For me namuona Magufuli ni kama Rais wa miaka mi 5 tu!!
Hao wanaBWEKA tu....kitu amefanikiwa mpaka sasa kwa % kubwa Magufuli ameWIN wananchi wengi
 
Kill all but Bernard Camilius Membe. Mi sio CCM ila huyu jamaa namkubali sana na swaga zake za ki intelligensia. Tena wamuwache
 
Kwa wanaojua historia ya ccm watajua anayeongea sio Membe ni kundi la watu wakubwa ndani ya ccm kama yeye alivyo mkubwa hawezi tumwa na wadogo. Anayoyajua membe magufuli hayajui yako mengi nyuma ya pazia sasa kama yako mengi nyuma ya pasia ayajuayo membe bila magufuli kujua nini maana yake? hapo ndo tuna conclude uasi mkubwa umepangwa na wana ccm kwa serikali ya magufuli. Shame on you ccm. CCM ni chama kisichopenda kabisa maendeleo ya Tanzania yaani wanatamani wananchi wote wangekuwa mazezeta ili wawaongoze bila kupata criticism. Sasa bahati tumepata Magufuli angalau kidogo yuko tofauti tayari washaanza kumfanyia hujuma hata miezi 4 haijafika
Duh! kumbe mikakati ya "kumkolimba Raisi wetu mpendwa Magufuli" mikakati ilianza miezi minne tu baada ya kuchukua office. Maswali niliyokuwa nikijiuliza baada ya kifo cha Magufuli:
1) wakina nani wahusika wa Kifo cha Magufuli ? maana kuna watu mwakajana akiwemo

Nguseroh na wengine walioingia na ID fake walituhakikishia kuwa mwaka huu 2021 lazima tunaongozwa na Raisi mwanamke na wengine walisema wakijiamini kabisa kuwa mwakani ambao ndio mwaka huu 2021 Raisi Magufuli lazima afe na walisema mikakati ishaanza hiyo ilikuwa mwezi wa 6 2020, watu humu jamvini waliwakebehi wakasahau kamsemo ka wahenga "Lisemwalo lipo kama halipo basi Laja" na nikweli baada ya miezi 9 tu yaani kutoka yaliposemwa maneno hayo juu ya kifo cha Raisi Magufuli (June, 2020) hadi kifo chenyewe halisi (March, 2021), na msemo wa wahenga ukatimia lililo semwa likaja.

2) Mkuu ulichozungumzu hapo juu kwa njia moja ama nyingine umemuhusisha MEMBE kwenye huo uasi na wengine, je hao wengine ni wakina nani ? na membe yupo wapi kwa sasa hivi ? maana mauti ya mkute Raisi wetu MEMBE hajaonekana na amekaa kimya au pia ndio mbinu moja wapo anayoitumia kujificha ili asijulikane ?
 
Back
Top Bottom