Membe amkosoa Magufuli

Wanatutoa kwenye mada ya UDA. Eti mtoto aliyekuwa na miaka 9 anunua UDA kwa mabilioni!! Majipu mengine ni hatari kwa afya ya Mh Rais. Itabidi Magu atumie dawa kali kabla ya kuyatumbua na baada ya kutumbua. Mh Membe,kachero mzoefu,anacheza na akili za watu.
 
kwani kwenda nje ya nchi ni sifa?

Haiwezekani Rais aende nje kuomba misaada
ilhali waombwaji misaada wanafahamu wale walioingia nao mikataba
mibovu kamishini /fedha/ganji zao wanazimiliki
kwenye mabenki yao.

Rais kwenda nje kuomba misaada hiyo si sawa na kama ni mijadala
wapo watu makini wenye weredi zaidi katika mijadala na vitu vinavyofanana
na hivyo.

Na kama atakwenda nje kwa maana ya EU/UN cha kwanza kuwaekeza hao
washirika ni juu ya utajiri wa Afrika hasa Tanzania ulivyofungiwa kwenye hazina zao.

Kwa kuwa Mh.Membe amemkosoa Mh. Rais,basi ni wajibu wa Mh.Rais na ni
haki kwa Mh. Membe angalau ateuliwe kuwa Msemaji wa Tanzania popote pale
duniani kwa kuzingatia masharti na vigezo vya Utumishi wa Umma.
 
Majipu unayajua wewe au unayaskia...Membe ana point hapo afu jamaa ni genius sana anajua anachokisimamia anaona jamaa anaenda mrama lazima aseme.Ni heri huyu bwana angekua rais kuliko huyu tulie nae sasa.
Ulitaka membe awe rais wako duhh.......point gan kwa mfano me cjaona chochote zaidi ya chuki na wivu
 
You have nailed it! Na leo nakuunga mkono kwani unaonekana hatimae unajua Kikwete alikuwa na viongozi wa aina gani! Hapa jamaa anaanza kuisoma namba ndio maana yamemtoka haya maneno. Atetea uvivu na uzembe wa awamu ya Kikwete. Magufuli inabidi tumuunge mkono kwa sana ili asiyumbishwe na hawa wavivu waliozoea kusafiri kila siku.
 
Mmmmmmmmh! Ninawasiwasi hili linaweza likawa jipu linataka kujitumbua lenyewe
 
Membe huyu huyu aliyekuwa tayari kununua wajumbe pale Dom ili awe Mkuu wa Kaya,leo anakuja na maneno ya ovyo kabisa yaani huyu ndio mlitaka kumpa dhamana kubwa ya kuongoza nchi yetu.
 
Fyatuuu
 
Ukweli unatabia ya kudumu, Baraza la Mawaziri ni kubwa na mzigo kwa Taifa.

Membe kasema kweli.
 
Naona wengi Humu hawaijui taaluma ya Membe,huyu kila anachofanya na kuongea inabidi utulie na kutafakari sana,kuna picha kwenye Sanaa zinaitwa obstacles au wengine wanaita illusions.


A useless diplomat who never did any good for Tanzania while in Canada. Zaidi ya hapa kuna nini cha maana ambacho ameki-impact kwenye diplomasia hapa Tanzania? He's talker who never accomplishes anything zaidi ya porojo, unafikiri kwa nini alikatwa? Think again!
 
hayo majipu ya JK mbona hamuyataji na sisi tukayajua? mbona mmebaki na majungu tu? akili za mbwa hizi ni shida.
 
Majipu unayajua wewe au unayaskia...Membe ana point hapo afu jamaa ni genius sana anajua anachokisimamia anaona jamaa anaenda mrama lazima aseme.Ni heri huyu bwana angekua rais kuliko huyu tulie nae sasa.


Membe is useless na ndiyo maana hata chama chake kiliona kuwa hafai kuwa rais. The guy is a puppet wa Kikwete na kama angeshinda yeye urais basi nchi hii ingefirisika within his first month in power kwa kutalii duniani. What Kikwete did for 10 years in his so called power, Membe angeendeleza ujinga ule ule kwani angekuwa anatawaliwa na Kikwete bado. Thanks God he is NOT in power na kwa sasa Afrika na dunia nzima inaitizama Tanzania as mfano wa utawala bora wa kiukweli siyo kama ule wa kisanii aliokuwa anaufanya Kikwete.
 
Sasa nimeamini kuwa watakaomkwamisha Magufuli ni virusi ndani ya CCM...... Kwa hili nafikiri Membe katumwa na yule jamaa ili amchane Magufuli.

=====================
maneno ya mkosaji. alizoea uzururaji na uzembe yeye na yule ndugu yake.walifikiri hii nchi ni baba yao.shenxy type
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…