Haya basi tutaona mwisho ya hiyo Bifu na Mtawala wa nchi.Mkuu wewe labda ndio point yangu imekupitia utosini hapa hatuongelei matokeo ya bifu ,tunaongelea uwezekano wa bifu kutokea ,na ndio nikakujibu hilo linawezekana vizuri na nikakutolea mifano ,sasa kama mtu kaleta bifu na raisi akaishia kuwekwa kizuizini au vinginevyo hilo ni swala jingine
Hilo ni swala lingine kabisa na haina maana namtetea Membe hapa ,anachokitaka atakipata kwa wakati wakeHaya basi tutaona mwisho ya hiyo Bifu na Mtawala wa nchi.
Ondoka kwenye Uzi huu na nisikuone tenaSipendi tabia ya kumsemasema vibaya MEMBE.
Naona wengi Humu hawaijui taaluma ya Membe,huyu kila anachofanya na kuongea inabidi utulie na kutafakari sana,kuna picha kwenye Sanaa zinaitwa obstacles au wengine wanaita illusions.Haka kajamaa hakajitambui, ni fisadi Jnr. Yeye atasema chochote atakacho ili tu kumyumbisha Magufuli asitumbue majipu ya JK na mawaziri wake majambazi. Naona ni wivu tu ndiyo unaomsumbua Membe kwani alitaka sana kuwa rais ili aendelee kuiba na kutetea maslahi ya JK. Rais Magufuli inabidi atumbue majipu ya Membe haraka sana.
Pole shemeji. Mwaka 2020 sio mbali.
Balozi Sefue ni very civilized wewe. Hana mda kujibu huo udwanzi wa Membe. Hizo habari peleka kwa Bulembo, yeye ndio zinamfaa.Haya sasa Balozi Sefue, Olesendeka na Bulembo iteni press mumjibu Bernad Membe.
Vuteni subira Rais JPM hataacha jiwe juu ya jiwe kuhusu ufisadi.Haka kajamaa hakajitambui, ni fisadi Jnr. Yeye atasema chochote atakacho ili tu kumyumbisha Magufuli asitumbue majipu ya JK na mawaziri wake majambazi. Naona ni wivu tu ndiyo unaomsumbua Membe kwani alitaka sana kuwa rais ili aendelee kuiba na kutetea maslahi ya JK. Rais Magufuli inabidi atumbue majipu ya Membe haraka sana.
Team membe bado mupo?Majipu unayajua wewe au unayaskia...Membe ana point hapo afu jamaa ni genius sana anajua anachokisimamia anaona jamaa anaenda mrama lazima aseme.Ni heri huyu bwana angekua rais kuliko huyu tulie nae sasa.
Tatizo linakuja hapo kwenye kuacha kila mtu aongee anachotaka ndio tutakapokuwa nchi ya wajinga Kama ulivyoiweka.Tatizo la chama chetu hakipendi mawazo tofauti! mtu akisimama na kutoa mawazo tofauti anakuwa adui. Ndio maana nchi haiendi. Membe aachwe aseme tu anachotaka kusema, na wana "Kidumu" wengine pia waseme. Wengine wakosoe, wengine waunge mkono na kusifia, na serikali iangalie mawazo yote na kuchukua yenye manufaa na kuacha yale inayoona hayana maana. Na Ukawa nao waaachwe waseme, wakosoe nk. Na mwanahalisi na Mawio nao waseme.... Hiyo ndiyo demokrasia. Katika mengi yanayosemwa (kuna yatakayotufurahisha na mengine yatachukiza). NI muhimu kuvumiliana. Hatuwezi kuwa na nchi yenye watu wanaokubaliana katiuka kila kitu. Hii itakuwa nchi ya wajinga.
Sipendi tabia ya kumsemasema vibaya MEMBE.
Sasa nimeamini kuwa watakaomkwamisha Magufuli ni virusi ndani ya CCM...... Kwa hili nafkiri Membe katumwa na yule jamaa ili amchane Magufuli
Kamsema nani vibaya mkuu mbona mbaba wa watu kajikalia kimyaaa acheni hizo bhana.Basi mshauri nae asiwasemeseme vibaya wenzie; aufyate atakua salama!
Du. Vijembe mpigane wenyewe, midadi mnaitafuta kwa wengine!!Pole shemeji. Mwaka 2020 sio mbali.
Mkuu, nini maana ya heading?Watu wengi tunatoa povu kwa vichwa vya habari kabla ya kusoma stori ndani. Isije ikawa uchonganishi tu.