Membe alisahau nini Serikalini?

Anataka kutimiza ndoto yake,japo inambidi azaliwe upya kisiasa.
 
Membe nanajiona kijana anawaona kina mahiga,kabudi na mkuchika kama walifaa kuwa home na yeye aendelee kupewa nafasi kimsingi membe sio mwanasiasa kina jk wamemibua na kumsimamia na kumuaminisha alifaa abakie ikulu kusoma magazeti

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anasubiriwa tu kutsngazwa na ACT wazalendo kuwa mgombea wa urais
Tanzania hakuna upinzani,ni wasanii tu
 
Hahahah sawa je ulishawahi kufika kule MTAMA mkoani LINDI?
 
Anaamini "ufisadi" ni jambo endelevu na bora kwa wale walio "barikiwa"
Ukiondoa ufisadi Tanzania umeiondoa ccm,ndo maana ile mahakama ya mafisadi tuliyoahidiwa na Magufuli imekufa kifo cha mende.chezea ccm wewe
 
Membe aliingia siasa kama msaka pesa kwa hiyo yeye ni msaka madaraka ili apate pesa zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata magufuli na kundi lake motto yao ni hiyo hiyo,kama hujui kwanini watu wanazibwa midomo basi just relax endelea kula au kuteseka huku ukiwa unasifu na kuabudu kwa kuwa ni wakati wako
 
Ukiondoa ufisadi Tanzania umeiondoa ccm,ndo maana ile mahakama ya mafisadi tuliyoahidiwa na Magufuli imekufa kifo cha mende.chezea ccm wewe
Kwa hiyo tiba ni "saccoss" au "maigizo ya wazalendo"
Na zaidi ya hapo jasusi mbobezi sio ccm?
 
Kwa hiyo tiba ni "saccoss" au "maigizo ya wazalendo"
Na zaidi ya hapo jasusi mbobezi sio ccm?
watanzania hatuna cha kupoteza kwa kuipiga ccm chini,ila kwa kuwa watanzania wenyewe ndo wa aina yao wao mwanamke malaya waliyemzoe ni bora zaidi pamoja na kuugulia maumivu kila siku kuliko kupiga chini na kuanza upya
 
Sawa tutawapigia kula chaguo lako
 
Mguseni basi kama msiponuka mimavi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata magufuli na kundi lake motto yao ni hiyo hiyo,kama hujui kwanini watu wanazibwa midomo basi just relax endelea kula au kuteseka huku ukiwa unasifu na kuabudu kwa kuwa ni wakati wako
Kwa hiyo akiingia membe wewe na wenzako nao mtapata nafasi ya kutuibia sio?

Mtandao ulikwisha kufa kifo cha membe(mende).

Mtateseka sana kwenye keyboards lakini hamtabadilisha lolote nchi imeisha shika kasi kuelekea mabadiliko, na huko tuendako ni siasa zisizo na mitandao.

Kazi kwenu mliozowea kuishi kwa mfumo wa tunamjua nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mie ninaelimu yangu na kazi yangu nzuri huku malawi,sina muda wa kutegemea huruma ya mtu,I am so sorry ila naumia ninapoona akina Magufuli wakitumia kodi yangu vibaya maana kodi yangu ni kwa ajiri ya maendeleo ya nchi yangu na watu wake na si sehemu ya kufanya magufuli au mtu yeyote kufukuzwa kama Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…