pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,030
- 15,232
Kila la kheri ila busara na hekima zitawale vikao.
is it possible? tukimtoa nchale tukimwacha nchale nadhani wanachoweza kufanya kwa sasa ni kumfreez humohumo chamani ila sio kumtoaKuna tetesi zinadai kuwa JIWE ameampa maelekezo bashiru alli ya kumfuta uanachama mh membe....
Boss kashasema tayari kilichobaki ni utekelezaji wa kumtimua chamani
Kwani wakimtoa atawafanya nini mkuu?is it possible? tukimtoa nchale tukimwacha nchale nadhani wanachoweza kufanya kwa sasa ni kumfreez humohumo chamani ila sio kumtoa
ok ngoja tusubiri tuone.Kwani wakimtoa atawafanya nini mkuu?
Samaki ana nguvu akiwa ndani ya maji tu.,akitolewa sasa....
Kuna tetesi zinadai kuwa JIWE ameampa maelekezo bashiru alli ya kumfuta uanachama mh membe....
Boss kashasema tayari kilichobaki ni utekelezaji wa kumtimua chamani
is it possible? tukimtoa nchale tukimwacha nchale nadhani wanachoweza kufanya kwa sasa ni kumfreez humohumo chamani ila sio kumtoa
Hilo kuti kavu alilokalia liko wapi!?
kusema ukweli ndio kupiga kelele????KWANINI MUSIBA ANAPIGA SANA KELELE???
na wasipomlinda hao mgambo watafanya kazi gani?????????Yeye ndo raia mwoga zaidi nchi hii...angalia lundo la mgambo wanaomlinda
huo ni mtazamo wenu wa akili ndogoNdo ushangae sasa
UKWELI IN WHICH GROUND???kusema ukweli ndio kupiga kelele????