Membe akalia bilioni 200 za Zanzibar

Membe akalia bilioni 200 za Zanzibar

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
313505_267037340077967_1583916961_n.jpg


Kumbe zipo sababu nyingi kuwasikia wajumbe wetu wa BLW wanasema kwa ukali, ghazab na jazba wanapozungumzia haki ya Zanzibar ndani ya Muungano; dhulma inayofanyiwa Zanzibar ndani ya Muungano na kelele zinapokuwa nyingi, zinaundwa kamati. Mpaka sasa zimeundwa kamati 200 kutatua kero (KARO) za Muungano; karo hazijasafika.

Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya nchi za Nje na "Ushirikiano wa Kimataifa" amekalia pesa za Zanzibar zipatazo 200bn/= zilizotolewa na wafadhili kwa ajili ya kuipa Zanzibar kuendeleza/kufufua specifically zile EPZ, maeneo huru ya kiuchumi Zanzibar.

Waliotoa pesa hizi wakiwemo UAE/Rasil Khemah ambao viongozi wetu wote watatu (Shein, Seif-1 na Seif-2) wamekuwa kiguu na njia kutafuta misaada. Imepatikana Membe laatul laah amezuia, just kutia saini tu ili pesa ziwe released.

Kipengelea kimoja kinachomfanya Membe ndiye atiwe saini/pesa za misaada, mikopo, zawadi n.k zinapoingia katika foreign currency au misaada kama hiyo Zanzibar hairuhusiwi kusaini, kwa sababu si nchi' inatakaiwa TZ ndio imwage wino.

Huu ni mwezi wa pili, Membe amekalia barua yetu na pesa zetu, halali yetu. Baadaye wanakuja Zanzibar eti kujiliza baada ya meli kuzama.

Hiyo ndio TZ, na huo ndio Muungano wetu uliodumu miaka 48 kwa Bara kuidhulumu Zanzibar.
* Plus, jana tu Abubakar alikuwa anasema ndani ya BLW kuwa hao hao akina Membe wameinyima Zanzibar fursa ya kuhudhuria vikao muhimu vya kimataifa kwa kuwanyima wajumbe wake visa, just kwa sababu wao watanganyika hawakwenda au hawakutakiwa kuwemo.

Ushauri wangu: MAMBO YA NCHI Z ANJE IONDOSHWE KABISA KATIKA LIST YA MUUNGANO (GET ME RIGHT PLEASE, SIO SUALA LA KUGAWANA MABALOZI, LA HASHA). ONDOA FOREIGN AFFAIRS KATIKA LIST HIYO FOR GOOD.

Mbaya zaiid katika sakata hili la Membe kuzuia pesa zetu, naibu wake anaitwa Mahadhi Juma Maalim mzanzibari wa Muyuni/na Mungoni (huyu ni kambi ya NO vote katika referendum, na ndiye group la akina Samia, Haroun, Shamsi, Perera Ame Silima wanachochea watu wa kusini wasema NO serikali tatu au muungano wa mkataba). Mahadhi, Kazi ya uzinzi haifai na kutafuta wanawake kuowa. Kuwa na akili wewe, nchi yako inazamishwa.

Hizi habari za Membe kukalia 200bn/= zimeigusa BLW na cabinet ya Zanzibar ni habari zilizoleta ghazab sana, maana hili si la mwaka 1968 au 1980s au 1970s it's only two months ago or less (jana na leo).

Naomba wana-mzalendo tujadili mada hii kwa kina na tuone impact yake. La kama mtaona abdisalum porojo sawa. Maana huko nyuma nilisema mengi mkaona ahhhh.huyu haipendi CCM + CUF na haitakai GNU tu. Leo akina Moyo, Jussa, Hamza, Mansour wanasema hayo hayo niliyosema mimi long time ago.

Mfano niliwahi kusema katika ukumbi huu kuwa ushirikiano wa kimataifa' limeingizwa baada ya zahma ya Zanzibar kutaka kujiunga na OIC; awali ilikuwa haimo. Mzalendo walipinga baadhi yao juzi Moyo amelisema, na ameonekana champion/hero'.

Hii ya membe sijui kama haitopingwa, lakini ulizeni wana-cabinet wa SMZ , muulizeni Mahadhi na huyo bosi wake Membe kweli si kweli?


CHANZO : mzalendo.net
 
Hoja kama hizi mimi huwa nashindwa kujua undani wake make hazina upande wa pili uanweza kumhukumu mtu ukamuonea bure.
 
hawa nao mtapumuaje au kuleta Al-shabab kusumbua watu tena mpewe misaada ,,kwa case ya membe sina hakika ila kama ni kweli basi Viongozi wa Zanzibar
vlaza mbona hawasemi
 
Kama ni mtu baki kwa jinsi wanavyotaka kutuaminisha mbona wameshindwa kumu-bypass na kwenda kuchukua hizo billion 200 wanazozipigia kelele.

Nchi yenyewe mapato kwa mwaka ni Tsh billion 240 (2013/14) halafu wanasema msaada ni Tsh billion 200.
hawajazungumzia mapato, wamezungumzia misaada

msaada ni pato?
 
wameshasema wanataka kupumua, sisi tunang'ang'ania ulitegemea nini??

hata nyumbani, mke akikuchoka anaweza kukuita jina lolote lile alimradi umpe nafasi yake

siwashangai

it was expected
Hapa kweli nimekupata. Hata hivyo huyu bwana anaonekana harlewi hata lugha ambayo mke wake anaongea.

Ndiyo maana mimi nasema, ni vizuri wananchi wakashirikishwa katika maamuzi ya huu muungano tegemezi kuliko kushirikishwa huku kuna pre-conditions.

This is not 1960's ambapo wananchi wengi walikuwa hawafahamu hata nini maana ya muungano na kuwapa referendum ilikuwa ni kutowatendea haki.

Ushirikishwaji bila pre-conditions ungekata mizizi ya fitina na kejeli kama hizi tunazozisikia.
 
Hapa kweli nimekupata. Hata hivyo huyu bwana anaonekana harlewi hata lugha ambayo mke wake anaongea.

Ndiyo maana mimi nasema, ni vizuri wananchi wakashirikishwa katika maamuzi ya huu muungano tegemezi kuliko kushirikishwa huku kuna pre-conditions.

This is not 1960's ambapo wananchi wengi walikuwa hawafahamu hata nini maana ya muungano na kuwapa referendum ilikuwa ni kutowatendea haki.

Ushirikishwaji bila pre-conditions ungekata mizizi ya fitina na kejeli kama hizi tunazozisikia.

ngoja waje humu wadai tumewaita wake zetu... LOL
 

Kumbe zipo sababu nyingi kuwasikia wajumbe wetu wa BLW wanasema kwa ukali, ghazab na jazba wanapozungumzia haki ya Zanzibar ndani ya Muungano; dhulma inayofanyiwa Zanzibar ndani ya Muungano – na kelele zinapokuwa nyingi, zinaundwa kamati. Mpaka sasa zimeundwa kamati 200 kutatua kero (KARO) za Muungano; karo hazijasafika.

Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya nchi za Nje na "Ushirikiano wa Kimataifa" amekalia pesa za Zanzibar zipatazo 200bn/= zilizotolewa na wafadhili kwa ajili ya kuipa Zanzibar kuendeleza/kufufua specifically zile EPZ, maeneo huru ya kiuchumi Zanzibar.

Waliotoa pesa hizi wakiwemo UAE/Rasil Khemah – ambao viongozi wetu wote watatu (Shein, Seif-1 na Seif-2) wamekuwa kiguu na njia kutafuta misaada. Imepatikana Membe – laatul laah amezuia, just kutia saini tu ili pesa ziwe released.

Kipengelea kimoja kinachomfanya Membe ndiye atiwe saini/pesa za misaada, mikopo, zawadi n.k zinapoingia katika foreign currency au misaada kama hiyo – Zanzibar hairuhusiwi kusaini, kwa sababu ‘si nchi' inatakaiwa TZ ndio imwage wino.

Huu ni mwezi wa pili, Membe amekalia barua yetu na pesa zetu, halali yetu. Baadaye wanakuja Zanzibar eti kujiliza baada ya meli kuzama.

Hiyo ndio TZ, na huo ndio Muungano wetu uliodumu miaka 48 kwa Bara kuidhulumu Zanzibar.
* Plus, jana tu Abubakar alikuwa anasema ndani ya BLW kuwa hao hao akina
Membe wameinyima Zanzibar fursa ya kuhudhuria vikao muhimu vya kimataifa kwa kuwanyima wajumbe wake visa, just kwa sababu wao watanganyika hawakwenda au hawakutakiwa kuwemo.

Ushauri wangu:
MAMBO YA NCHI Z ANJE IONDOSHWE KABISA KATIKA LIST YA MUUNGANO (GET ME RIGHT PLEASE, SIO SUALA LA KUGAWANA MABALOZI, LA HASHA). ONDOA FOREIGN AFFAIRS KATIKA LIST HIYO FOR GOOD.

Mbaya zaiid katika sakata hili la Membe kuzuia pesa zetu, naibu wake anaitwa Mahadhi Juma Maalim – mzanzibari wa Muyuni/na Mungoni (huyu ni kambi ya NO vote katika referendum, na ndiye group la akina Samia, Haroun, Shamsi, Perera Ame Silima – wanachochea watu wa kusini wasema NO serikali tatu au muungano wa mkataba). Mahadhi, Kazi ya uzinzi haifai na kutafuta wanawake kuowa. Kuwa na akili wewe, nchi yako inazamishwa.

Hizi habari za Membe kukalia 200bn/= zimeigusa BLW na cabinet ya Zanzibar – ni habari zilizoleta ghazab sana, maana hili si la mwaka 1968 au 1980s au 1970s –
it's only two months ago or less (jana na leo).

Naomba wana-mzalendo tujadili mada hii kwa kina na tuone impact yake. La kama mtaona abdisalum porojo – sawa. Maana huko nyuma nilisema mengi – mkaona ahhhh….huyu haipendi CCM + CUF na haitakai GNU tu. Leo akina Moyo, Jussa, Hamza, Mansour – wanasema hayo hayo niliyosema mimi long time ago.

Mfano niliwahi kusema katika ukumbi huu kuwa ‘ushirikiano wa kimataifa' limeingizwa baada ya zahma ya Zanzibar kutaka kujiunga na OIC; awali ilikuwa haimo. Mzalendo walipinga baadhi yao – juzi Moyo amelisema, na ameonekana ‘champion/hero'.

Hii ya membe sijui kama haitopingwa, lakini ulizeni wana-cabinet wa SMZ , muulizeni Mahadhi na huyo bosi wake Membe – kweli si kweli?CHANZO : mzalendo.net
Kwanza habari za mzalendo ni majungu.
Pili, elimu ya mzalendo.net ni majunguTatu, elimu ya wznz kusoma na kutafuta ukweli ni ndogo.
Naonyesha uongo wa huyu bwana.

1.Membe amewanyima wazanzibar Visa kuhuduhuria vikao vya kimataifa kwa kuwanyima VISA
Wazanzibar visa ya nchi nyingine haitolewi na wizara ya mambo ya nje ya Tanzania.
Kama unakwenda US visa inatolewa na ubalozi wa US kama itakavyokuwa kwa visa ya UK, China n.k.
Kauli hii ni ya uongo na ni wajinga tu, narudi wajinga tu watakaokubali.Ni kauli ya kupuuza sana.
Membe hawezi kutoa visa ya Marekani. Wznz wanaafiki, uwezo wa kupambanua pumba na mchele mhh

2. Wanasema mambo ya nje yaondolewe katika muungano.
Hapa ni kuwa wanataka muungano lakini hawataki mambo ya nje yawe ya muungano.
Halafu anasema znz imeonyonywa na Tanganyika kwa miaka 48 wakati huo huo anataka muungano isipokuwa mambo ya nje.

Wazanzibar kataeni mambo ya nje yasiwe ya muungano, na msiishie hapo kataeni ulinzi na mambo ya ndani pia yasiwe ya muungao. Mkikubali kupewa ulinzi basi mjue na mambo ya nje yatakuwa ya muungano.
Hakuna nusu glasi.
Ulinzi na usalama hamzungumzii kwasababu mnajua ni suala la gharama, ndio utamaduni wa wenzetu, kubebwa rahaaaa mustarehe!

3. Hizi habari za Membe kukalia bilioni 200 zimekuja mwezi mmoja tu na ndio maana BLW wamejawa na ghadhabu na jazba

Huu ni uongo, hawana jazba wala ghadhabu wanafoka tu kwasababu wapo znz wakipanda meli kimyaa!
Juzi walikuwa Dodoma hakuna aliyenyanyua mdomo kusema leo ghadhabu inatoka wapi.
Ukumbi wa bunge la katiba unaandaliwa na wao wameomba idadi iongozwe, ghadhabu za muungano zitoke wapi!

4. Ushirikiano wa kimataifa umeingizwa baada ya sakata la OIC
Hapa ndipo utashangaa kuona wznz wanakubaliana na hili.
Hakuna anayekwenda maktaba kufanya hata kautafiti kasikohitaji fedha

Sakata la OIC limetokea miaka ya 1990 Mwinyi akiwa rais wa JMT.
Katika historia ya nchi hii kwa miaka 48 znz haijawahi kuwa na waziri wa mambo ya nje pekee.
Narudia pekee kwa maana kuwa hatujawahi kuwa na mawaziri wawili.

Kwahiyo suala la mambo ya nje lilikuwepo kuanzia mwaka 1964 kwasababu nilizosema.
Sijui hawa wenzetu uongo wanautoa wapi yarabi. Hata hili la miaka 20 linahitaji elimu kweli?

cc. JokaKuu Jasusi FJM Nonda Mchambuzi Mzee Mwanakijiji
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Nguruvi3 , Mimi sikutaka hata kuichambua hii habari kwa sababu nilijua ni pumba tupu. Ndiyo maana nikadonoa kwenye figure tu kwa sababu kama zilivyo hulka za Wazinzibar, hawawezi kukubali pesa ambayo 83% ya pato la mwaka la Taifa lao kwa mujibu wa figure za Salimin Awadhi Salimin ikaliwe na mwananchi wa nchi "nyingine".

Mimi nataka huu muungano uvunjike na kila mmoja abebe mzigo wake. Haiwezekani watoto wetu hawana hata madawani shuleni wakati pesa ya madawati tunawalipia wanafunzi wa Zanzibari.

Bora hata serikali tatu zije ili zirahisishe uvunjikaji wa huu muungano tegemezi kwa sababu nina amini hawawezi kulipa 50% ya gharama za serikali ya Muungano.

Mimi nimechoka na hizi kelele za muungano.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Nguruvi3 , Mimi sikutaka hata kuichambua hii habari kwa sababu nilijua ni pumba tupu. Ndiyo maana nikadonoa kwenye figure tu kwa sababu kama zilivyo hulka za Wazinzibar, hawawezi kukubali pesa ambayo 83% ya pato la mwaka la Taifa lao kwa mujibu wa figure za Salimin Awadhi Salimin ikaliwe na mwananchi wa nchi "nyingine".

Mimi nataka huu muungano uvunjike na kila mmoja abebe mzigo wake. Haiwezekani watoto wetu hawana hata madawani shuleni wakati pesa ya madawati tunawalipia wanafunzi wa Zanzibari.

Bora hata serikali tatu zije ili zirahisishe uvunjikaji wa huu muungano tegemezi kwa sababu nina amini hawawezi kulipa 50% ya gharama za serikali ya Muungano.

Mimi nimechoka na hizi kelele za muungano.
Mkuu hawa jamaa ni wazuri sana wa kutunga hadithi. Tatizo linalowakabili ni pale data zinapohitajika.

Fikiria kuwa wamechoka muungano unaowanyonya kwa miaka 49 wakati huo huo wanaomba mambo ya nje yaondolewe katika muungano. Hapa nashindwa kuelewa hawa watu wanataka nini hasa. Hakukuwa na sababu za kusema ondoa walichotakiwa kusema ni hawataki muungano.

Huyo aliyeandika hiyo mada ni msomi asiyejua kuwa znz haijawahi kuwa na waziri wa mambo ya nje pekee.
Watu wasijechanganya kati ya kuwa na waziri wa mambo ya nje mzanzibar na waziri kutoka SMZ.

Kuhusu kuchangia sawa hiyo serikali ya muungano, kitu hicho hakiwezekani. Wanachokifanya akina Warioba ni kuendeleza matatizo. Ipo siku Watanganyika watahoji wenzetu wanaweka nini mezani kiasi cha kusema tuna muungano.
Watakapogundua kuwa wamebeba mzigo ule ule kwa boksi jipya la serikali 3 atachachamaa.

Sasa hivi akili za wznz zipo katika vyeo, nafasi za ajira kwa usawa. Habari ya gharama hawajui kwasababu tumewalea kudai wasichokifanyia kazi.

Kuna fursa moja imebaki kwao, kukataa kuja katika bunge la katiba. Period.
Kinachoonekana wanajipanga kuja kudai zaidi na si kuzungumzia muungano.

Let them go jamani. Tuwaache wakaijenge Dubai yao.
 
Back
Top Bottom