Meli za kivita za Urusi 'kukwepa' Uhispania

Meli za kivita za Urusi 'kukwepa' Uhispania

Marekani hawezi ingia Vitani tena kajifunza toka,Vietnam,Iraq,Afagnistan.

Mrusi sidhani kama amewahi pambana vita kali zaidi za Ukraine,Crimea na sasa Syria

hakuna haja ya Vita dunia ya sasa wakae wamalize mambo yao kwa Amani tuendelee na Maisha

Mrusi hata kama yupo vizuri kiasi gani hawezi pambana na Nato hata kidogo tujifunze tu toka Kosovo always Mwenye Nguvu mpishe tu
 
Dunia inapozungukwa na Vyombo vya kiitikadi kwa malengo ya watu fulani kwa kueneza ujinga!! BBC walipaswa kutoa taarifa kwa ufafanuzi zaidi hichi kichwa cha Habari kinakusudi la kuonyesha Urusi wanafanya mambo kiujanja ujanja wakati si kweli: Taarifa za kweli ni kwamba Urusi kupitia Ubalozi wake nchini Hispania walipeleka ombi kwa serikali ya Hispania kuruhusu msafara huo kutia nanga kwaajili ya kujaza mafuta na mahitaji mengineyo katika mji wa Ceuta ambao ni mji unaokaliwa kimabavu na Uhisopani kwani mji huo upo Bara la Africa ukipakana na Morocco (Sehemu hiyo Uhispania unaimiliki na hivyo ni sehemu ya Muungano wa Ulaya). CEuta is One of the Poorest towns in Hispania. Ikumbukwe Meli za urusi zimekuwa zikitia nanga katika mji huo kwa suala la kujaza mafuta pamoja na huduma nyinginezo tokea miaka ya 2000. Baada ya Urusi kutuma maombi hayo kwa nchi ya Hispania, ndipo Viongozi wa Umoja wa Ulaya na waandamizi wa NATO wakaipelekea Onyo kali uhispania endapo itaruhusu meli hizo kutia nanga katika mji huo wa Ceuta kama Urusi ilivyoomba, malumbano hayo yalikuwa kabla ya siku ya jana. Urusi kuona nafasi ya Hispania katika malumbano baina ya wahusika wa muungano wa Ulaya..Jana Balozi wa Urusi akaiandikia Barua serikali ya Hispania kuwaeleza mabadiriko ya Msafara wa meli hizo za Urusi na hivyo hazitatia nanga tena Ceuta na kuondoa ombi waliloipelekea serikali ya Hispania la kutaka kutia nanga katika mji huo. Hoja ya Umoja wa Ulaya kuishinikiza Hispania isitoe ruhusa kwa Meli za Urusi kutia nanga katika mji huo ni kwamba Meli hizo zinakwenda kufanya mashambulizi nchini Syria kwa lengo la Kuwashambulia raia wasio na hatia. Source: the guardian, TAS, Telegraph, RT...
Asante kwa kuiweka sawa hii habari mkuu.
 
Back
Top Bottom