Idimi
Platinum Member
- Mar 18, 2007
- 15,506
- 11,439
Kuna siku tutaambiwa kumsema Babu wa Loliondo ni kuvisema vifaru...
Maana kuna mtu fulani alienda kule hapendwi kukumbushwa.
sitashangaa!Kuna siku tutaambiwa kumsema Babu wa Loliondo ni kuvisema vifaru...
Maana kuna mtu fulani alienda kule hapendwi kukumbushwa.
sitashangaa!Meli itakwepo kwa siku tano,madaktari kwa siku wanahudumia wagonjwa 600,Waliopata namba wapo 6000, naona hapa Hesabu imekaa vibaya maana 600×5=3000View attachment 635610
WAKATI upimaji wa afya bure ukiendelea katika meli maalumu kutoka China, baadhi ya wananchi jijini Dar es Salaam wamegeuza shughuli hiyo kuwa mtaji baada ya kuanza kuuza namba za kadi wanazopatiwa.
Aidha, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dk Grace Maghembe amesema tayari watu 6,000 wamepata namba kuwawezesha kuwaona madaktari hao kwa utaratibu unaofaa.
Dk Maghembe alitoa mwito kwa wananchi ambao hawajapewa namba, kusubiri hadi waliopata namba hizo watakapohudumiwa. “Tunawaomba msiendelee kusongana; tumeshagawa namba hadi 6,000, hivyo subirini hawa wapate huduma ndipo tutaangalia kama tutaendelea kugawa namba nyingine kulingana na uwezo wa madaktari hawa,”alisema Maghembe.
Meli hiyo yenye madaktari na wataalamu wa afya zaidi ya 380 iliwasili nchini Novemba 19 na inatarajiwa kutoa huduma hiyo kwa siku tano kwa wagonjwa 600 kwa siku. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alisema amepata taarifa juu ya uwepo wa watu hao wanaofika kwenye meli hiyo kama wagonjwa wanaotaka kuhudumiwa, lakini wakipatiwa namba hizo hugeuka na kuziuza kwa Sh 5,000 hadi Sh 50,000, jambo ambalo ni kosa na kinyume na makusudio.
“Upimaji huo tulisema ni bure na ni makosa kwa mtu kununua au kuuza namba,” alisema. Alibainisha kuwa, baadhi ya wagonjwa wamebainika kutakiwa kusafirishwa kwenda China kupatiwa huduma zaidi hivyo ofisi yake itaandaa utaratibu wa kuwawezesha kusafiri.
Akaongeza, “wagonjwa hawa wanaotakiwa kusafirishwa tutaangalia utaratibu wa kuwasaidia baada ya kupata idadi kamili tutawasaidia kupata hati za kusafiria pamoja na kuangalia utaratibu wa kuwawezesha wakiwa huko kwa matibabu.”
Muungwana
Meli iko Temeke wailes mtaa wa njombe namba 23ivi hio meli iko wapi na mie niende
Ndio kabisa! Kaanza kwa kutapeli kuwa meli hiyo imeletwa na yeye na Magufuli ndio kalipia gharama za matibabu hayo ya bure. Huo ndio utapeli namba moja, hao wengine wanafanya vijiutapeli tuu. Ajabu mpaka leo hakuna aliye kanusha kuwa Magu kalipia matibabu hayo hivyo kiwango cha utapeli kimepanga kwenda juu zaidiTAPELI namba ni makonda na CCM
Za kuambiwa,...........Meli itakwepo kwa siku tano,madaktari kwa siku wanahudumia wagonjwa 600,Waliopata namba wapo 6000, naona hapa Hesabu imekaa vibaya maana 600×5=3000
Kwa hiyo kuanzia namba 3001 Na kuendelea warudi tu walikokuwa wanapata matibabu wakaendelee Na shughuli zao
bure ghariKweli, tapeli wa kwanza ni yule aliyesema hao wachina wamelipwa na raisTapeli ni yule aliyesema kalipia watu wote kumbe huduma zinatolewa bure
Teh teh tehZa kuambiwa,...........![]()
![]()
![]()
bure ghari
kwa kweli sometime tunamuonea bureBINADAMU HAWANA WEMA ,PAMOJA NA JITIHADA ZOTE ANAZOFANYA MKUU WA MKOA BADO UNAMWITA TAPELI? MNYONGE MNYONGENI, HAKI YAKE MPENI ! ANASTAHILI PONGEZI KWA HILI
Kafanya jitihada gani huyo makonda zaidi ya visasi?BINADAMU HAWANA WEMA ,PAMOJA NA JITIHADA ZOTE ANAZOFANYA MKUU WA MKOA BADO UNAMWITA TAPELI? MNYONGE MNYONGENI, HAKI YAKE MPENI ! ANASTAHILI PONGEZI KWA HILI
Wewe kweli ngedere wachina wanasema matbabu bure Grace Mugabe anasema JPM kalipia pesa which is whichBINADAMU HAWANA WEMA ,PAMOJA NA JITIHADA ZOTE ANAZOFANYA MKUU WA MKOA BADO UNAMWITA TAPELI? MNYONGE MNYONGENI, HAKI YAKE MPENI ! ANASTAHILI PONGEZI KWA HILI
Hiyo meli huko Arusha itapita wapi?Arusha inakuja lini?? Au mnatulipiza tulivyowapiga bao kwenye Kikombe cha loliondo? Kile ndo kilikuwa chenyewe! Hadi Mugabe (jina kwa hisani ya askofu Shio wa jimbo la Zanzibar) naye hakubaki nyuma
Nahisi watanzania sote ni wagonjwa, kila mmoja na ugonjwa wake tuKumbe Tz inawagonjwa wengi mno..??![]()
Kama ni hesabati basi hiyo kwenye hao watano mmoja ni wa kukopaMsione watu wanatembea tuu, kumbe wagonjwa wengi. Wangekuja huku mtaani wapime akili ile ya 1/4 siiamin pengne ni 5/4 kbsa

KweliNahisi watanzania sote ni wagonjwa, kila mmoja na ugonjwa wake tu
KweliHuwaoni huko kwa manabii wa makanisani !
Kweli. Umenikumbusha mbaliRE: Kwa babu Loriondo