Hizo Dualis najua hazina insurance. Ndio basi tena.
Mkuu dualis? Vipi watu?
Hizo Dualis najua hazina insurance. Ndio basi tena.
Meli haipinduki kwa upepo!Usafiri kwa vyombo vya majini kwa Tanzania sio salama kabisa, ukipanda hakikisha umevaa maboya
Usafiri kwa vyombo vya majini kwa Tanzania sio salama kabisa, ukipanda hakikisha umevaa maboya
Mkuu sijui jina lako. Lakini siku ukienda nchi ya Francophone watamkie uone watakavyoliandika. Jina langu mimi hasa la ukoo limeshaandikwa kinamna nikaishia kushangaa tu.Sidhan kama wanaweza kudeviate jina halisi la mtu. Mfano naitwa James wao wataniandika DJAMES?
Yanatisha mnoo..ni Yesu pekee anaweza kuituliza hyo bahariHakuna kiumbe kinaweza shindana na maji hata samaki wenyewe baharini wakikutana na dhoruba maisha yao huwa hatarini
View attachment 2956875
Hicho unacho ona hapo sio kilele cha mlima kilimanjaro ni maji yamejivuruga. Wewe na mbizi zako hapo hutoboi
View attachment 2956876
Sahihi Kabisa MkuuHakuna kiumbe kinaweza shindana na maji hata samaki wenyewe baharini wakikutana na dhoruba maisha yao huwa hatarini
View attachment 2956875
Hicho unacho ona hapo sio kilele cha mlima kilimanjaro ni maji yamejivuruga. Wewe na mbizi zako hapo hutoboi
View attachment 2956876
hahaa...haa.haa... tutajifunza kurukaMkuu, Meli inazama katikati huko unaogelea kurudi au kumalizia safari? Siku ikifika utajifunza kuogelea halafu kuna kitu kitakwambia leo panda ndege ndo safari hiyo. RIP
Tugeuke kunguru.hahaa...haa.haa... tutajifunza kuruka
kifo cha maji ni mateso kwakweli MWENYEZI MUNGU awapumzishe salama.Tugeuke kunguru.
Kabisa. Wapumzike salama.kifo cha maji ni mateso kwakweli MWENYEZI MUNGU awapumzishe salama.
Mbona jina la huyo Mchina lina J Lakin hawajaweka D mwanzo? Twende kwa hoja.Mbona lugha nyingi tu zinabadili matamshi na spelling za majina mkuu
Mfano Kiswahili tu nchi Kama America tunaiita Marekani, Mozambique wenyewe sidhani Kama wanajua nchi yao inaitwa Msumbiji.
Kwenye majina ya watu ndio kabisa kila lugha Ina matamshi na spelling zake.
Moses-musa
Solomon -selemani
Sembuse hiyo Juma kwa Djuma.
Swali linabaki pale pale..Mkuu sijui jina lako. Lakini siku ukienda nchi ya Francophone watamkie uone watakavyoliandika. Jina langu mimi hasa la ukoo limeshaandikwa kinamna nikaishia kushangaa tu.
Unarudia tena na tena kutamka unaandikwa hivyo hivyo. Mpaka nilipoizoea lugha ya Kifaransa tabu ikaisha. Nawaandikia jinsi lilivyo halafu nawaandikia jinsi ya kutamka. DRC wana afadhali kwa sababu ya Kiswahili. Nenda Gabon au Benin ujionee.
Wimbi kama hujajiandaa umepotea kabisa ,binafsi naogelea sana ila siku moja nilichemka kwa wimbi sijaliona .Mm naogelea sana tena sana, kuna siku nipigwa wimbi moja kubwa kama nyumba. Kila kitu kikaishiwa nguvu, kwa wimbi ilo kutoka ngumu sana
Siwezi kujua. Labda walipewa maandishi. Ila pia ikiwezekana mtafute mchina umuombe akutamkie “Meng Jianyou” kama utaisikia kama ilivyoandikwa hapa. Kumbuka kichina rasmi kinaandikwa kwa maandishi ya Mandarin.Swali linabaki pale pale..
Kuna jina hapo la Mchina
Anaitwa MENG JIANYOU
kwanini hawakuandika
MENG DJIANYOU?
kwanini iwe kwa OMARI JUMA ambaye nyie mmesema imeongezwa D kwenye jina kisa ni wanatumia Francophone akaitwa OMARI DJUMA. huyo mchina yeye kwenye kutamka jina lak3 haina haja ya D si ndio?
Naitwa Dominic kwa kikongo ntaitwa JominickWakongo ili watamke "Juma" inabidi iandikwe "Djuma". Kilimanjaro inaandikwa "Kilimandjaro". Usipotanguliza "d" mbele ya "j" matamshi yanakuwa mengine kabisa. Ndio uandishi wa wanaotumia kifaransa (French script).