Meli kupeperusha bendera ya nchi nyingine

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,804
Reaction score
60,652
Naombeni kujuzwa hili jambo kuhusu meli kupeperusha bendeea ya nchi nyingine kwa mfano meli inafanya safari bahari ya hindi lakini unakuta ina peperusha bendera ya venezuela.hii imekaaje je ile bendera ni nchi iliyotengenezwa au mmiliki ni wa huko..na hata ikiwa tuseme imesajiliwa huko inakuaje ikafanya safari bahari nyingine kabisa..naona meli bendera za south korea lakini ukifatilia hakuna uhusiano kabisa mmiliki sio wa huko na haifanyi safari za huko.
 
Mbona kwenye IST zetu tumejaza bendera za Israeli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…