Kwa hiyo kama umeiona meli hii kisha ukaridhika kwamba hakuna meli nyingine kubwa zaidi utakuwa unajidanganya? Kwa hiyo kuna nyingine kubwa zaidi, au?KAMA ulishawahi kuonana na meli kubwa duniani kisha ukalidhika kwamba hakuna nyingine kubwa zaidi ya ulizoziona. Utakuwa unajidanganya!
Inawafanya kazi 3,000,inauwezo wa kuchukua abiria 6780,
umeshaambiwa ni ya BATA zaidi sasa wewe ulitaka mbanano kama kwenye basi la mwendo kasiwanyakz weng kuliko abiria kwa ratio
unataka kulinganisha hotel na meli sasa ....................Kwa hiyo kama umeiona meli hii kisha ukaridhika kwamba hakuna meli nyingine kubwa zaidi utakuwa unajidanganya? Kwa hiyo kuna nyingine kubwa zaidi, au?
Halafu meli haiwezi kuwa ya abiria 6780 halafu 3,000 wakawa wafanyakazi! It's absurd.
Imagine hoteli ya watu 400 ina wafanyakazi 200! hahahaaa... Kaipitie vizuri source yako please, doesn't make any sense
Class and type: Oasis-class cruise shipKwa hiyo kama umeiona meli hii kisha ukaridhika kwamba hakuna meli nyingine kubwa zaidi utakuwa unajidanganya? Kwa hiyo kuna nyingine kubwa zaidi, au?
Halafu meli haiwezi kuwa ya abiria 6780 halafu 3,000 wakawa wafanyakazi! It's absurd.
Imagine hoteli ya watu 400 ina wafanyakazi 200! hahahaaa... Kaipitie vizuri source yako please, doesn't make any sense
Boss bwana mkubwa mkuu. Hizo meli za kitalii huwa hivyo mzee. Huwa zinakuwa na wafanyakazi wengi sanaKwa hiyo kama umeiona meli hii kisha ukaridhika kwamba hakuna meli nyingine kubwa zaidi utakuwa unajidanganya? Kwa hiyo kuna nyingine kubwa zaidi, au?
Halafu meli haiwezi kuwa ya abiria 6780 halafu 3,000 wakawa wafanyakazi! It's absurd.
Imagine hoteli ya watu 400 ina wafanyakazi 200! hahahaaa... Kaipitie vizuri source yako please, doesn't make any sense
Nipo tu nina waangalia michango yenu jinsi munavyosemaMzizi mkavu umepotea kwenye uzi huu. huwa napenda michango yako
Ebu ngoja waamke, mning'inio ukisha watoka ndipo utawaelewaNipo tu nina waangalia michango yenu jinsi munavyosema