Meli kubwa ya kitalii yawasili nchini

Hebu tuache ushamba na kushabikia mambo madogo kama haya
Safari za kuzunguka sehemu na miji duniani ipo miaka yote ni biashara iliyopo kila mahali
Unaweza kukata ticket yako na kuzunguka unakoona panakufaa kama mizunguko ya Caribbean au Africa na hata Australia na unachagua siku kama ni 7 au 14 na mpaka miezi 3 ambapo unaizunguka nusu ya dunia
Na hiyo ndio raha ya hizi meli
Sasa ikipiga nanga Dar au mombasa na ikapita Zanzibar hiyo ni moja ya safari zake tu ikiwa imetokea labda cape town.

Jamani mjisifie kutembea basi


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Hao jamaa waliokuja na hiyo meli si ndio hao hao mipimbi ya lumumba inawaita mabeberu..!? Na kwamba hawana nia njema,...
Sasa mbona mnawasujudia tena...!?
Btw kwa kuwa ni mabeberu hayo, majike wa hapo lumumba mjiandae kupandwa...


Sent using Vertu Signature Cobra
 
Usiwe unatuma tena picha za madude kama haya..........
Jamaa anaweza kutaka kununua, ukatuponza bure tuendelee kufa njaa....
Tuache kwanza tumalizane na Ndege zetu...
 
najiuliza kwanini hii habari imeletwa hapa leo hiyo meli iko bandari toka juzi!!
 
meli ya mabeberu yawasili bandari ya dar (chadema)


meli ya watalii yawasili bandari ya dar.
(ccm)
 
Akili za vijana wa lumumba ndogo sana. Hata meli za kitalii wanazihusisha ma Rais? Au na siasa?
Hizo meli zinakuja TZ miaka na miaka tokea enzi za Nyerere. Wanazinguka nchi mbalimbali na kupumzika siku moja au mbili.

Hao wamelipia kila kitu. Wanalala na kula humo humo melini. Sio kwamba kwamba wameletwa kuja kutalii TZ.
Unajua kwamba JPM ali chukua mkopo kuongeza kina cha bahari ili Meli kubwa ziweze kufunga Gati hapo? Ndio maana Rais ameusishwa kwakua wazo alilopewa na wataalam alilifanyia kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom