Meli kubwa ya kitalii yawasili nchini

Meli kubwa ya kitalii yawasili nchini

Wataalamu nina ka swali,hivi meli kama hii ikipark nchini,vyombo vya usalama vya nchi husika vinaikagua (including documents za wasafiri) au inakuwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
Mara nyingi hawashuki wale ni wachache huja mjini kufanya tours less than 2hrs then wanarudi. Utakuta kama ina watu 1000 bas watakaoshuka hawazid 50

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom