a45
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 1,325
- 1,402
Unataja kuwa kwenye biblia Kuna watu watatu ambao hawakua na wazazi mmoja ndo huyu melkizedeki Sasa hao wengine ni kina Nani ?Melikizedeki.. Ni mmoja ya wafalme , kama walivyokua wafalme wengine.
Biblia haijataja kumuelezea sanaaa ndomaana akaingizwa ktk watu watatu ambao ndani ya biblia hawaonekani kua na wazazi.
Kwa uelewa wangu mdogo, nadhan hakuandikwa sana kama sehem ya mambo ambayo hayakua na umuhim kivile.
In fact hata biblia ya leo ni ufupisho tu ila mambo ni mengiiiiii sana Chief !!!