Meja jenerali Sylivester Chacha Ryoba

man of the year

JF-Expert Member
Jun 23, 2014
345
85
Habari zenu wapendwa
Mwenye mawasiliano ya huyu mzee wangu naomba anisaidie, nawasilisha ombi langu kwa heshima zote.

Salaam kutoka Tarime, Mara.
 
Ameondoka jeshini akiwa Luteni jenerali cheo ambacho ni cha kujivunia sana mno ni ngumu kukuta Maluteni jenerali waliopo hai wakafika 15 hata ukijumlisha na waliostaafu
 
Ni kweli, ni cheo adimu ambacho ni wale wenye bahati tu ndio hukifikia. If you are not that luck, hardly utaishia kuwa Meja Jenerali
 
Uliza Makao Makuu ya Jeshi ndio Wana taarifa wapi aliko Jenerali
Makao makuu ya jeshi wanazo taarifa za mtumishi aliyeko kazini hajastaafu.

Akiisha kustaafu, faili lake hufungwa, madai na stahiki zingine zimhusuzo husukumiziwa hazina na habari ya mtumishi huyo kuishia hapo.

Sasa je huyo mzee bado ni active staff?

Kama ndivyo sivyo, basi ajitahidi kupata wanajeshi wenye vyeo vya kulingana na huyo mzee, pia alocate sehemu aliyokuwa akifanyia kazi, anaweza kupata watu wanaomfahamu na kupata mwanga pa kuanzia.

Vinginevyo ni ngumu sana kupata where about zake, maana wanajeshi kufahamiana mpaka muwe na ukaribu wa kieneo, makundi ama kama walipata mafunzo mahali fulani wakiwa pamoja katika utumishi nk nk.

Na hata wakitupwa vitani hufahamiana kwa pass word na formation lakini si kwa kutegemea sura ama jina.
 
Where about?where bout mzee
 
Kwa mfano akahitajika kiofisi, wanampataje?
 
Ofisa wa cheo hicho tena nimeona mtu hapo juu kasema alifikia cheo cha luteni jenerali ni watu wa hadhi ya juu kabisa ya kipekee ya jeshi na nchi huyu kambi yoyote ya jeshi lazima afahamike usifanye mchezo na 3* general asee ungekuwa siriaz ungeshampata......
 
Back
Top Bottom