Meja jenerali Sylivester Chacha Ryoba

Meja jenerali Sylivester Chacha Ryoba

Kwa mfano akahitajika kiofisi, wanampataje?
Huwa wanatumia njia ya kutupa jiwe gizani.

Hutoa tangazo kwenye notice board zao kwamba anaye mfahamu desh desh amtaarifu kuripoti location flani tarehe flani.

Habari hizo huenea kama moto wa nyika, kama yupo nchini habari lazima azipate tu.

Sasa kwa mtu anayemtafuta personal anaweza akatumia njia hiyo pia, kwa kuripoti kikosi cha jeshi kilichopo karibu naye na kuomba kufahamishwa alipo mtu huyo, kama ni mzazi ama ni mtoto, habari hiyo hupewa kipa umbele.
 
Ni kweli, ni cheo adimu ambacho ni wale wenye bahati tu ndio hukifikia. If you are not that luck, hardly utaishia kuwa Meja Jenerali

Jeshini kila afisa jenerali lazima amuheshimu Lt.Gen maana kupita ni ndoto ya mchana na imesababishwa na evolution of warfare sababu leo hii mapambano linaenda kundi kubwa sana basi Formation ya nguvu ya kuongozwa na Brig.Gen
 
Makao makuu ya jeshi wanazo taarifa za mtumishi aliyeko kazini hajastaafu.

Akiisha kustaafu, faili lake hufungwa, madai na stahiki zingine zimhusuzo husukumiziwa hazina na habari ya mtumishi huyo kuishia hapo.

Sasa je huyo mzee bado ni active staff?

Kama ndivyo sivyo, basi ajitahidi kupata wanajeshi wenye vyeo vya kulingana na huyo mzee, pia alocate sehemu aliyokuwa akifanyia kazi, anaweza kupata watu wanaomfahamu na kupata mwanga pa kuanzia.

Vinginevyo ni ngumu sana kupata where about zake, maana wanajeshi kufahamiana mpaka muwe na ukaribu wa kieneo, makundi ama kama walipata mafunzo mahali fulani wakiwa pamoja katika utumishi nk nk.

Na hata wakitupwa vitani hufahamiana kwa pass word na formation lakini si kwa kutegemea sura ama jina.
Mzee achana na icho cheo kabisa.wala uwezi ukakuta eti washafunga file lake.awa ndo wanakuwaga wakuu wa zone.inamaana wakikutana tu wakuu wa zone wa 3 basi nchi sio yako maana watakuwa wana nusu na robo ya jeshi zima la nchi.yani jamaa alikuwa anamtafuta mtu mkubwa sana kwenye nchi hii
 
Mzee achana na icho cheo kabisa.wala uwezi ukakuta eti washafunga file lake.awa ndo wanakuwaga wakuu wa zone.inamaana wakikutana tu wakuu wa zone wa 3 basi nchi sio yako maana watakuwa wana nusu na robo ya jeshi zima la nchi.yani jamaa alikuwa anamtafuta mtu mkubwa sana kwenye nchi hii
Kama sikosei huyu alishafariki,mwaka huu katikati ndio alizikwa.
 
Huyu jamaa alikuwa anamtafutia nini huyu kamanda wetu.inabidi tumtafyte huyu jamaa tujue alikuwa ana inshu gani nae.maana kumtafuta mtu mzito kama huyu sio jambo jepesi
Screenshot_20211215-103727.jpg
Screenshot_20211215-103713.jpg
 
Back
Top Bottom