Makao makuu ya jeshi wanazo taarifa za mtumishi aliyeko kazini hajastaafu.
Akiisha kustaafu, faili lake hufungwa, madai na stahiki zingine zimhusuzo husukumiziwa hazina na habari ya mtumishi huyo kuishia hapo.
Sasa je huyo mzee bado ni active staff?
Kama ndivyo sivyo, basi ajitahidi kupata wanajeshi wenye vyeo vya kulingana na huyo mzee, pia alocate sehemu aliyokuwa akifanyia kazi, anaweza kupata watu wanaomfahamu na kupata mwanga pa kuanzia.
Vinginevyo ni ngumu sana kupata where about zake, maana wanajeshi kufahamiana mpaka muwe na ukaribu wa kieneo, makundi ama kama walipata mafunzo mahali fulani wakiwa pamoja katika utumishi nk nk.
Na hata wakitupwa vitani hufahamiana kwa pass word na formation lakini si kwa kutegemea sura ama jina.