Mkuu angalia asilimia ngapi wameajiriwa na asilimia ngapi wamejiajiri,ukishapata rekodi,utajua leo wengi wetu tuko makazin kama kawa.ndivyo sivyo unavyotufikiria.loading error...
Wazee wa michepuko na team bazazi leo tulieni makwenu na familia zenu, msisingizie kuwa mnaenda mei mosi kumbe mnataka kuingia chobingo, siku hizi kuna vifo vya ghafla ndani ya gesti house na nyumba ndogo..!tulieni
mr loading error ni kweli kabisa wafanyakazi wa gesti leo ndio wako bize kuliko siku nyingine, leo hakuna kuomba ruhusa wala udhuru wowote ule na nyingi leo zitajaa kabla ya saasita
This time watakaa home watakuwa wapole sababu mishahara bado labda kama imetoka leo.
This time watakaa home watakuwa wapole sababu mishahara bado labda kama imetoka leo.
Bulldog GPS na LOCATION VIEW vinaonyesha uko mahali patulivu mno halafu kuna shadow ya kama mtu mke pembeni yako
Bulldog GPS na LOCATION VIEW vinaonyesha uko mahali patulivu mno halafu kuna shadow ya kama mtu mke pembeni yako