Megan Young kutoka Philipino ashinda miss world 2013 jumamosi hii

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
Megan young kutoka ufilipino ndio mshindi mpya wa miss world 2013.watanzania ata 20 bora atupo .Bado Kazi ipo sana kwa Tanzania kuchagua miss bora atakaotuwakilisha vyema kwenye mashindano aya
mashindano hayo yamefanyika usiku wa leo jumamosi uko Indonesia japo ulipata upinzani mkubwa toka kwa baadhi ya vikundi vya kiislam sababu asilimia kubwa ya waindonesia ni waislam,ulinzi uliimarishwa sana.

Nilichojifunza kuna Aja kubwa ya kuchagua miss mwenye kipaji cha Sanaa ili aweze kuonekana sana.

Tano bora ni :
Marine Lorphelin toka France
Carranzar Okailey toka Ghana
Sancler Frantz Konzen wa Brazil
Elena Ibarbia wa Spain



1331603_628x471_jpg776a02e49c57b78ba38b77ad61e358fc

1331613_280913_WINNER_14_600x400_jpg67a292464efee27595d574c61c423680
1331416_Megan-Young-Miss-World-2013_jpg4a4dd248c91b13931ec4b48bb14de4cf

1331477_413915_jpg6e26fa758b7da60b78c6442d78a8f3a1
megan-young3.jpg
Megan-Young-crowned-Miss-World-Philippines-2013.jpg
 
list ya washindi ni Kama ifuatavyo

Miss world 2013 beauty with a purpose ni Ishani shrestha toka Nepal
Miss world 2013 talent ni Vania Larissa toka Indonesia
Miss world 2013 sportswoman ni Jacquiline Steenbeek kutoka Netherland
Miss world multimedia Navneet Kaur kutoka India
Miss world 2013 beach fashion ni sanclear Frantz kutoka Brazil
Miss world 2013 top model ni Megan Young kutoka Filipino
379768_465780193503605_1200614014_n.jpg

Miss world 2013 people champion ni maroua Kharbouch kutoka Gibraltar


409063.jpg



1383099_734005693282364_527350357_n.jpg
 
Miss bongo ayupo top 5?,haa ni hujuma,Teh Teh Teh Teh Teh,Lundenga anafawaidi kweli hawa watoto.
 
dah kweli nazeeka. ata nilikua cjui kwamba kuna miss world.
mbn miss tz tumempata juzi tu, ndio huyo huyo ameenda kiwakilisha tz?
 
dah kweli nazeeka. ata nilikua cjui kwamba kuna miss world.
mbn miss tz tumempata juzi tu, ndio huyo huyo ameenda kiwakilisha tz?

Hapana miss tz wa mwaka jana ndo amewakilisha mwaka huu, na miss tz wa mwaka huu ndo atawakilisha miss world mwakani

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mmbongo alishika nafasi ya 3 kwenye taji la beauty with purpose, nilisoma kwenye magazeti yetu ya hapa bongo sijui ni kweli
Miss bongo ayupo top
5?,haa ni hujuma,Teh Teh Teh Teh Teh,Lundenga anafawaidi kweli hawa
watoto.
 
Look at her nails.....hadi raha

simple, clean and attractive...yani km mimi nimeshindwa rangi za kucha, lipstick, wig, weaves kucha ndo kbs nakata kila wiki, foundation, powder, kope etc na ndio huo usichana ushanipita anyways hongera kwa wale wanaopaka na wanavutia mimi ntaendelea kua mtizamaji.
 
simple, clean and attractive...yani km mimi nimeshindwa rangi za kucha, lipstick, wig, weaves kucha ndo kbs nakata kila wiki, foundation, powder, kope etc na ndio huo usichana ushanipita anyways hongera kwa wale wanaopaka na wanavutia mimi ntaendelea kua mtizamaji.

Exactly..........Sometimes Being Natural inakufanya uonekane stunning zaid.......
 
Acha uwongo, usiseme kama kitu hujui, na ulivyoandika unashawishi kweli kudanganya watu,

happines watimanywa ndio amekwenda kuwakilisha hiyo miss world

hapana miss tz wa mwaka jana ndo amewakilisha mwaka huu, na miss tz wa mwaka huu ndo atawakilisha miss world mwakani
 
ndio manake yani 1 week difference na tunategemea kushinda,

cc The Boss

sio kweli
Aliyekwenda ni brigitte alfred

Happiness anaenda mwakani

Usipotoshe watu

Hata instagram brigitte alipost picha akiwa huko kwenye mashindano
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom