megaboksi christmass offer

megaboksi christmass offer

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,278
Reaction score
44,414
nimeona tigo assubuhi wamentumia message asubuhi kwa shilingi 500 unapata internet unlimited kwa siku 2.

Nimeunga nkajaribu kudownload kitu kikubwa imedownload kwa speed nzuri tu.

Kwa alie interested ambaye hajapata taarifa habari ndo hii.

Kujiunga andika neno MEGABOKSI kwenda 15166
 
Thanx kwa taarifa mkuu hebu ngoja nshushe mizigo..!
 
Ni kweli wakuu, speed iko poa sana!

megaboksi.jpg
 
nimeona tigo assubuhi wamentumia message asubuhi kwa shilingi 500 unapata internet unlimited kwa siku 2.

Nimeunga nkajaribu kudownload kitu kikubwa imedownload kwa speed nzuri tu.

Kwa alie interested ambaye hajapata taarifa habari ndo hii.

Kujiunga andika neno MEGABOKSI kwenda 15166
yani tigo bana hadi tarifa tuzipate toka jf ok wacha tuingie mzigoni
 
Dah hii kitu sio unlimited wakuu. au ni kwangu tu?? baada ya kudownload mizigo kadhaa wakantumia ujumbe kwamba nmemalza kifurushi kwa ajili ya kudownload, kilichobaki ni kwa kusurf tu... wengine niaje wakuu?
 
umedownlod mb ngap? Maana mi nimeshusha nyingi sjapata msg yoyote.
 
mimi nilijiunga kwenye saa 7 mchana waaki nikiwa na mb 50 za extreme,nikakonect mb50 za extreme zilipoisha haikukonect tena,sijui kutakuwa na tatizo gani!
 
uliandika neno megaboksi? Na ulihakikisha sh 500 imekatwa kwenye salio?
 
sp3d kwa moderm inaonesha 602kb/sec lakini nikija kwa utorrent nashangaa kumuona konokono au kinyonga
 
Mie nilijiunga na baada ya saa 2 wakasema kifurushi kimeisha....hakuna cha ulimited wala nini....uongo mtupu
 
uliandika neno megaboksi? Na ulihakikisha sh 500 imekatwa kwenye salio?

asante sana kaka nimejaribu kuunga tena kwa kutumia line nyingine na nimepata spidi nzur sana ya kusurf pamoja na kushusha mb kadhaa,hadi mida hii naendelea nayo. shukran sana
 
nimeona tigo assubuhi wamentumia message asubuhi kwa shilingi 500 unapata internet unlimited kwa siku 2.

Nimeunga nkajaribu kudownload kitu kikubwa imedownload kwa speed nzuri tu.

Kwa alie interested ambaye hajapata taarifa habari ndo hii.

Kujiunga andika neno MEGABOKSI kwenda 15166

mkuu asante kwa kuileta hii kitu- bado inapiga mzigo tokea jana.wakikutumia msg kwamba umemaliza bundle,we disconnect then connect upya
 
mi nimeunga juzi sijadisconect inapiga mzigo hadi leo. Maybe sababu natumia simu then ndo naiconect kwenda kwenye modem.
 
Back
Top Bottom