Sina takwimu vizuri ila nilikuta mahali wana calculate inaonyesha Mkwere miaka minne na nusu ama mitano (hesabu siku) katumia kwa safari za nje na miaka nitano mingine ndio aliyoishi nchini. Siku ambapo safari zake zilinikera na kutoa machozi ni pale madktari walipogoma na vifo vya watanzania kuzidi kila kukicha halafu yy anapepea tu wala kusema lolote hana ila alipokufa nguli wetu wa filamu Kanumba eti kaahirisha safari cjui ilikuwa ya china ama india kaenda mcbani. This man bwana.............. (every one has his/her own identity it depend with.....)
Rais wa Tanzania wa awamu ya Tano mpaka sasa hivi hajasafiri nje ya nchi hata mara moja.
Hapa tutaendelea kupeana updates na kulinganisha safari zake na za Nyerere.
mkuu Saint Ivuga, rais JK amevunja rekodi ya marais wote 3 ukiwajumlisha pamoja. jk ni noumer!
Kiongozi ni kweli kabisa,
Na huyu jamaa anaweza asivunje hata record ya mwalimu Nyerere.
Hadi tarehe kama hii alietoka alishasafiri Mara ngapi?
Hivi JK hakuvunja rekodi ya Marais wa Afrika?
Rekodi ya Nyerere unaijua lakini?
China peke yake Nyerere alienda mara 13...
na alitembea nchi nyingi pia
Nyerere alitembea nchi nyingi kuliko Mwinyi na Mkapa....
kumbuka alitawala miaka 25
Sidhani kama alimfikia Obasanjo
Katika miaka yake kumi kama Rais wa Tanzania, JK alienda mara ngapi Marekani peke yake?
mzee wa msoga hivi bado anasafirii
Punde huyo Marekani na china.kumbuka kunamikataba 17 ya Siri.gess
swissme
Kikwete hajaacha Legacy yoyote ningekuwa mwanae ningeona aibu kwa niaba yake. Magufuli hana shobo za kuzurura duniani anapiga kazi.
Anaogopa kupanda ndege sasa Marekani atafika kwa barabara ipi?
Si kweli. Anachoogopa ni kupanda chopa.
Majuzi tu alikuwa pale Addis Ababa Ethiopia, sina uhakika kama kesharejea hapa nchini, kwa kuwa hivi sasa habari zake hazina tena mvuto wa kuandikwa na vyombo vya habari.
Hivi sasa talk of the town ambayo wakati wote habari zao ndiyo zinazohit headlines ni 'M-Squire' ambao ni double M ya Magufuli + Majaliwa.
Unakumbuka the so called Boys II Men? mara baada ya utawala wa awamu ya nne? Haya ni majina walipachikwa JK na EL baada ya kuingia madarakani.
Ki maono kasi ya wakuu hawa M-square kama ulivyowaita ni nzuri na inatia moyo. Tuwape muda ili tuje kuwapima na kasi yao hii baada ya miaka mitano.
Mtamhesabia miaka mitano?
Hili ni jukwaa la intellectuals usidhani kuwa na facts tu basi.for your information Kikwete kawazidi marais wote kwa kuzurura duniani. amemzidi hata Mgabe aliyekaa madarakani miaka 28.
inasemekana ktk miaka yake yote ya urais mwalm nyerere aliwahi safiri nje ya nchi takribani mara 60 tu
Una chuki binafsi na jk wewe siyo bure
JK alizidi yaan kiguu na njia utadhan sijui nini............hivi magufuli anaweza kuanza kutembea nchi jirani wakati hajaunda hata serikali?
mtu mwenyewe ana weeks to madarakani mnataka kumlinganisha na watu waliokaa miaka. hebu tuambieni zaidi ya dodoma kuna mkoa gani tena magufuli ameendea? au moro wakati akienda kwa gari dodoma?
Mleta mada utakuwa mpuuzi.
JK alizidi yaan kiguu na njia utadhan sijui nini............
JK alikuwa rais dhaifu na asiyekuwa na dira
Kikwete hakuwa kiongozi bali jambazi ambalo liliwekwa pale na mafioso kuhakikisha rasilimali za nchi zinamalizwa, hivi ni kiongozi gani ambaye ndani ya mwezi mmoja tangu aondoke madarakani uozo wote alioufanya unawekwa hadharani tena pasipo shaka yoyote kuwa alikuwa mhusika wa moja kwa moja? Ndani ya mwezi mmoja aina ya utawala wake na mrithi wake unatofautiana kama mbingu na nchi na ikizingatiwa hawa wote wanatoka chama kimoja na sera zao ni moja? Hakika nchi hii haikuwa na kiongozi kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita.
huyu jamaa aliturudisha sana nyuma baasi tu watanzania hatujuiRekodi ya Nyerere unaijua lakini?
China peke yake Nyerere alienda mara 13...
na alitembea nchi nyingi pia
Nyerere alitembea nchi nyingi kuliko Mwinyi na Mkapa....
kumbuka alitawala miaka 25
mimi ninachojua kwa muda wa miaka kumi iliyopita watanzania hatukuwa na rais