neutral G
Senior Member
- Jul 9, 2014
- 105
- 75
Sina takwimu vizuri ila nilikuta mahali wana calculate inaonyesha Mkwere miaka minne na nusu ama mitano (hesabu siku) katumia kwa safari za nje na miaka nitano mingine ndio aliyoishi nchini. Siku ambapo safari zake zilinikera na kutoa machozi ni pale madktari walipogoma na vifo vya watanzania kuzidi kila kukicha halafu yy anapepea tu wala kusema lolote hana ila alipokufa nguli wetu wa filamu Kanumba eti kaahirisha safari cjui ilikuwa ya china ama india kaenda mcbani. This man bwana.............. (every one has his/her identity it depend with.....)