Mega Thread: Safari za Rais Magufuli nje ya Nchi

Mega Thread: Safari za Rais Magufuli nje ya Nchi

Hili ni jukwaa la intellectuals usidhani kuwa na facts tu basi.for your information Kikwete kawazidi marais wote kwa kuzurura duniani. amemzidi hata Mgabe aliyekaa madarakani miaka 28.

Mugabe amekaa madarakani tokea 1980,hadi sasa ni miaka 35
 
Kikwete hakuwa kiongozi bali jambazi ambalo liliwekwa pale na mafioso kuhakikisha rasilimali za nchi zinamalizwa, hivi ni kiongozi gani ambaye ndani ya mwezi mmoja tangu aondoke madarakani uozo wote alioufanya unawekwa hadharani tena pasipo shaka yoyote kuwa alikuwa mhusika wa moja kwa moja? Ndani ya mwezi mmoja aina ya utawala wake na mrithi wake unatofautiana kama mbingu na nchi na ikizingatiwa hawa wote wanatoka chama kimoja na sera zao ni moja? Hakika nchi hii haikuwa na kiongozi kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita.
 
"Kikwete ameenda mara nyingi kuliko alivyoenda kumuona mama ake kijijini"...Magufuli akizindua Bunge c.c Ritz
 
Last edited by a moderator:
JK kasafiri sana aisee duh!, Raisi mzima unaitwa ukafungue kijikongamano kisicho na kichwa wala miguu na Wazungu na wewe kweli unakubali?
Hapana aisee ile ya JK ilikuwa ni too much mpaka aibu!
 
Rais wa Tanzania wa awamu ya Tano mpaka sasa hivi hajasafiri nje ya nchi hata mara moja.
Hapa tutaendelea kupeana updates na kulinganisha safari zake na za Nyerere.
Kwa kifupi hakuna rais atakayevunja record ya Kikwete.

Watu wengine wameendesha ofisi ya rais kwa aibu kubwa sana.
 
Kikwete hajaacha Legacy yoyote ningekuwa mwanae ningeona aibu kwa niaba yake. Magufuli hana shobo za kuzurura duniani anapiga kazi.
Waulize bongo fleza wanjua legacy ya JK.:angry:
 
Aibu sana,kinga haiwez ondolewa KASHTAKIWE kale kazee?.
 
Safari zake hazikua za bure hamuoni kafanikiwa kuwaleta wawekezaje wengi hasa kwenye maeneo ya Madini na Gesi?
 
mwacheni mzee kikwete apumzike na ajilie pensheni yake kwa uhuru..mmemzodoa kwa kipindi chote cha miaka 10,hamjaridhika tu?
 
Na duniani kuna Rais anayemfikia kweli huyu jamaa? Achana na Musa na Waisraeli wakitoka Misri

Mkuu Ina maana jamaa ametembea umbali mrefu katika miaka kumi zaidi ya Mussa na Wana Wisrael???

Kwa sababu Waisrael walitembea kwa miaka 40, toka Misri hadi nchi ya AHADI!!!!!

Jamaa alijua kuruka na ndege utakuwa ni umbali mrefu sana huo!!!!!
 
Rais JK hakuwa na namna ilibidi asafiri tu alichagua kuongoza nchi kwa kuomba misaada toka nje sasa hakuna jinsi hapo lazima apige mitaa in the name ya kile kinachoitwa kutafuta wawekezaji. Noma sana nchi yangu Tzee.
 
Usichanganye safari za Mwalimu Kama rais na Mwalimu akiwa mwenyekiti wa tume ya kisini?!!




Rekodi ya Nyerere unaijua lakini?
China peke yake Nyerere alienda mara 13...
na alitembea nchi nyingi pia
Nyerere alitembea nchi nyingi kuliko Mwinyi na Mkapa....

kumbuka alitawala miaka 25
 
Inasemekana JK kavunja rekodi zote duniani za kusafiri na hakuna atakayekuja hata kumkaribia
 
Sina takwimu vizuri ila nilikuta mahali wana calculate inaonyesha Mkwere miaka minne na nusu ama mitano (hesabu siku) katumia kwa safari za nje na miaka nitano mingine ndio aliyoishi nchini. Siku ambapo safari zake zilinikera na kutoa machozi ni pale madktari walipogoma na vifo vya watanzania kuzidi kila kukicha halafu yy anapepea tu wala kusema lolote hana ila alipokufa nguli wetu wa filamu Kanumba eti kaahirisha safari cjui ilikuwa ya china ama india kaenda mcbani. This man bwana.............. (every one has his/her identity it depend with.....)
 
Back
Top Bottom