hio ni simu ngumu na ya luxury na analyst wengi walipoiona walitabiri uuzwaji wa simu za nokia. ni kama zawadi kwa wapenzi wa nokia.
1. huwezi kuta gorilla glass kwenye level ya 149usd ni kioo kigumu kinapatikana kwenye simu za bei ghali (labda ununue flagship za zamani.
2. material ya simu ni aluminium ambayo imefanyiwa sandblast halafu finishing ilawa mate. inamaana alluminium hiii ukiishika haitakua inateleza
3. though ni feature phone ina vitu vizuri kama
-hd calls inasuport (trust me inapatikana kwenye flagship na simu za bei ghali tu)
-5mp camera yenye led flash
-3.5g connectivity (hspa), feature phone nyengine zina 3g ya kawaida tu
4. kioo chake ni curved (hakipo flat) na yenye mwanga mkali itayokufanya utumie hata kwenye mwanga mkali
5. design yake ni premium simple kabisa angalia na picha
kuhitimisha simu hii wametengenezewa watu wenye hela haitauzwa maeneo kama india na africa imelenga zaidi maeneo kama russia. though ukiitaka utaipata sema bei ndo itakua kubwa