Meet the gomes twins . .

Wakaka wazuri kama pesa. Wako nchi gani nikawaombe mbegu?
 
Wanaume wa hivi hata akikutukana na kusema we kabaya nalia kwelii maana wazurii ,wanajua kuvaa sio mtu unaenda onana umevaa kama unaenda jogging mweeee
Ila hawamfikii G wangu ni noooumaaaaa
 
Wanaume wa hivi hata akikutukana na kusema we kabaya nalia kwelii maana wazurii ,wanajua kuvaa sio mtu unaenda onana umevaa kama unaenda jogging mweeee
Ila hawamfikii G wangu ni noooumaaaaa
Hahaha, eti kama unaenda jogging. Mbona hata nyie sometimes mnazinguA, ndo yale unakuta mtu kaulamba mchupi kama wa nandy
 
Hahaha, eti kama unaenda jogging. Mbona hata nyie sometimes mnazinguA, ndo yale unakuta mtu kaulamba mchupi kama wa nandy
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…