Meet singapore-based tanzanian it whizz kid alvin

Safi kijana naomba serikali impatie vitu ambavyo vitakuwa kama ni alama ya kuitangaza nchi yetu kama nguo zinazoonyesha mbuga za wanyama, mlima k.njaro ili wakoloni wajue kuwa na sisi akili ipo sana tu
 
hahahahahaha!!! Hatarii sana.......Unatongoza kabinti kanakwambia ukiona nachora chora chini na vidole vya miguu na kungata kucha ujue nimekubali
Enzi hizo tunamtoroka mwalimu wa nidhamu Mr. Mavika (mpenda sifa) tunakwenda kijijini kupiga ulasi mpaka usisileeee, ukikolea tunawaangusa, halafu unamwambia jina la uongo.

Kuna siku jamaa mmoja alikuja kutafutwa na demu wa kibena shuleni, wakati anakuja alitukuta sisi ndiyo tunatoka na ng'ombe wa shule kwenda kuchunga akatuuliza, naomba kumnukuu, "Eti kaka Apparatus yupo shuleni?". Watu wazima tukaelewa amekwisha pigwa mtu hapa tukamwambia huyo mtu amesafiri kidogo rudi baada ya mwezi mmoja yaani wakati shule imefungwa kwa likizo.
 
Mazingira yanasaidia sana kunoa vipaji,
Ninaamini kabisa huyu mchagga angekulia kwenye elimu ya Universal Primary Education (UPE) asingeweza kuwaza hata App inatengenezwaje.

Huyu Mchagga Hana Jina? Au ndio reverse discrimination...
 
Prof. Shayo kwa uzalendo alirudi Udsm,kilichofata ni frustration akaishia kuwa mwanasiasa


Hapana, Prof. Shayo hakurudi University of DSM kwa sababu ya UZALENDO; ALirudi ili kugombea UONGOZI NCHINI... nothing More nothing else...
Aliweka Jina kugombea UBUNGE VUNJO kwa CCM halikupita; Akagombea UBUNGE wa East AFRICA - Jina lake pia halikupita LILIKATWA na Pia alijaribu NEC hakufanikiwa...

Shayo, anapenda sana UMIMI na Ukubwa Hakurudi toka UK ili tu kufundisha -- Macho yake yote yako kwenye UONGOZI NCHINI... Tatizo ni kuwa alikuwa hajui siasa za CCM kuwa you must be in the CULT or know some CULT MEMBERS to JOIN THEM...

Kwahiyo SHAYO Hana Uzalendo wowote zaidi ya Utamu wa MADARAKA ndani ya CCM... na akishika hayo MADARAKA atakuwa MCHUNGU kama LAU MASHA... Meaning - Hatakuwa Msaada !!!



Invisible
 
Back
Top Bottom