Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,685
hahahaaa mkuu ndo umevaa kabisa na nguo za sikukuu?
Hahahahaaa
Saint Ivuga umependeza sana mkuu. Nipitie leo tukatafute videmu mitaani..Nimelipukaaa. Nadanganya?
Aiseee! Huyo ni S. Ivuga sr. Mambo ya Valentine anayaelewa kweli?
Mkulu Saint Ivuga nina zawadi ya mswaki kwa ajili ya Valentine
Mkulu Saint Ivuga nina zawadi ya mswaki kwa ajili ya Valentine
Mswaki mambo yenu wasomi bana
Aje kaka? Naona JF kiduku wametake over, sijui tunafanyaje malejendari?