Emotionless People: Ifahamu falsafa ya Stoicism

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
35,688
106,809
Mate...;

Neuralphysiology
ni somo linalojihusisha na jinsi neva zinavyotoa na kupokea taarifa hujikita zaidi katika ufanyaji kazi wa mfumo wa fahamu wa mwili. Autonomic Nervous System (ANS) Ni sehemu ya mfumo wa fahamu ambao huratibu matendo yanayofanyika ukiwa hujitambui au ukiwa umelala, pia huratibu shughuli mbalimbali za mwili kama vile mapigo ya moyo, mmeng’enyo wa chakula, kutanuka na kusinyaa kwa mboni,hamu ya kufanya mapenzi nk nk.

Lakini pia shughuli yake kubwa ni kuratibu tezi ya Adrenali Kupambana au kukimbia pindi linapotokea tatizo Fulani. Kwa lugha rahisi Emotions vile mtu anavyojisikia, Saikolojia inasema kwamba Emotions zinasababishwa na mchanganyiko wa Homoni na unconscious mind, saikolojia inaongeza kua Emotions ni mambo ya kibailojia ambayo yanahusiana na mfumo wa fahamu na mabadiliko ya Neuralphysiolojia yahusianayo na mawazo,hisia,majibu ya tabia na kiwango cha raha au karaha..….Hivyo basi mambo yote hapo juu yanakua yanaratibiwa na mfumo wa Autonomic Nervous System (ANS) katika mwili wa mwanadamu.

Emotions zinmegawanywa katika makundi makuu manne ambayo kila moja imebeba mambo mawili ambayo hukinzana, makundi hayo ni:- Joy (furaha)/sadness(huzuni) Acceptance(kukubali-liwa)/disgust(kukataa-liwa), Anger (hasira)/fear(uoga), Surprise(mshituko-kizo)/anticipation(kutegemea). Lakini pia kuna aina zingine nyiingi za emotions kama vile anxiety, aggression, boredom, doubt, apathy, empathy, envy, embarrassment, frustration, gratitude, grief, guilt, hatred, hope, horror, hostility, hunger, loneliness, love, pride, shock, shame, suffering, sympathy, nk nk.

NB: Japo kwa tunaogonga yai la Kiswahili tafsiri ya neno Emotions na Feelings vyote vina maana moja ambapo ni Hisia, ila kwa lugha ya wenzetu maneno haya yana tofauti pana hasa kwenye upande wa saikolojia hivyo jitahidi usiyachanganye. Emotions ni mwitio wa mwili ambao unakua zimeamrishwa kupitia Neuraltransmitters na homoni zilizotolewa na ubongo. Ila Feelings ni ile experience unayoipata baada ya kuwa na emotional. So technically feeling zinatengenezwa na emotion kwa lugha rahisi tunaweza kusema feelings ni Output ya emotions.

Mwaka 334BC eneo Fulani liitwalo Citium katika jiji la Cyprus nchini Ugiriki (ya zamani) alizaliwa bwana mmoja anaitwa Zeno, kwakua nyakati hizo waliwaita watu majina yao kutokana na sehemu walizozaliwa kama vile Yesu wa Nazareth, Thomas wa Akwino, Francis wa Asizi nk nk basi nae jamaa huyu aliitwa Zeno wa Citium. Huyu bwana alikua mwanafalsafa aliyetumia akili yake vizuri katika kuwaza na kutatua changamoto zilizo mkabili,Huyu bwana aliigawa falsafa katika makundi matatu ambayo ni logic,Physics na Ethics.

Stoicism

1618851949176.png

Zeno alifungua shule yake ya falsafa akawa anawafundisha watu flasafa yake ya stoicism ambayo ilikua na misingi ya watangulizi wake ambao ni plato, chrysspus (huyu chryspuss alikufa kwa kucheka, alitunga kichekesho/joke kikamchekesha akacheka hadi akafariki…sijui ndio akili nyingi mpaka unakua chizi).

Watu wanaofuata falsafa hii ya stoicism (stoic) wanaamini kwamba mwanadamu hutakiwi kujishikiza au kuendeshwa na emotions hizo nilizozitaja hapo juu yaani usiwe nafuraha,usiwe na huzuni,usiwe na hasira, usitegee kitu,usijikubali, usijikatae au kulazimisha kukubalika katika jamii nk nk. Wanaamini kwamba mwanadamu hutakiwi kujisumbua na vitu ambavyo wewe huwezi kuvi-Contorl inatakiwa uache mazingira/nature ndio ifanye kazi yake, kama itakuletea furaha basi chukua,kama itakuletea huzuni chukua yaani upokee chochote kile ambacho mazingira itakuletea.

Watu hawa nao hua ni wafiasi wa ile theory inayosema kwamba Attaching to material is detachement to the materials hivyo basi wao hawajihangaishi kutafuta pesa wala kujilimbikizia mali maana wanasema pesa na mali nyingi haziwezi kukupa furaha wala kupendwa sana hakuwezi kukupa furaha nk nk. Wao wanachojali zaidi ni kuheshimu Nature na kuiacha ifanye kazi maishani mwao kadri ipendavyo, japo stoic hawakatazwi kua na mali bali mali hizo ziwe zimekuja maishani mwako automatically kwa ruhusu ya Power of Nature maana baadhi ya wafuasi wa falsafa hii ambao ni maarufu walikua na mali nyingi tu kama vile Marcus aurelius aliyekua mtawala wa Roma na Seneca aliyekua milionea.

So thes guys wanachofanya ni ku-control Autonomic Nervous System zisiweze kuratibu uzalishaji wa emotions kwa mtu, katika mada zangu kadhaa nilieleza kwamba unaweza ku-draw your inner strength to face or to heal the body. Hivyo basi kwa kutumia reolientation of Soul wanaweza kuconvice ubongo uweze kuratibu emotions zao ziwe kadri ya vile wao wanapenda kua.

Lakini pia kuna watu tu by default wanazaliwa wao hawapendi mali wala kujishikiza kwenye material things yoyote…….wao wako tayari kupokea chochote kile tu ambacho nature itawapatia maishani mwao, binafsi naona hii ni falsafa bora ya kuishi nayo maishani maana ukiishi hivi huwezi kua na tama ya mali,madaraka wala umaarufu ambavyo ni vitu vilivyopoteza uhai wa wengi na kusababisha wengi kukosa haki zao kutoka kwenye mamlaka za ulimwengu.

Yafaa nini kupata mali zote ulimwenguni mwenyewe huku wenzio wakiwa wanataabu pomoni na matatizo yasiyo isha. Ila kwa mwanaume hii hali ina madhara yake maana utatakiwa kuwa na familia ambayo uta-belong to, and belonging means to provide,care,responsibility,duty,lead,protectnk nk Unless labda uamue kutokua na familia kabisa uwe wewe kama wewe. Ukifuatilia wanafalsafa waliofuta falsafa hii wengi walikua hawana familia maana wanaamini mke na watoto nayo ni material that a man possess

Unlike Stoicism kuna hii falsafa nyingine inaitwa Cynicism (maana ya Cynic ni mtu aishie kama mbwa/homeless au yahaya), wafuasi wa falsafa hii wanafundisha kwamba mwanadamu unatakiwa usiwe na tama yoyote ya kupata furaha wala hutakiwi kuwa na mali zozote maishani maana wanaamini kua kama unataka kitu Fulani ukikipata utataka kingine, ukikipata utataka kingine hivyo hivyo maisha yako yote itakua hivo. This is correct maana maishani mwetu kila mtu hua halidhiki na kile alichonacho akipata kile anachotamani basi atataka kingine tena zaidi ya kile..n.dio maana kuna msemo unasema pesa haishi utamu.

Wanafundisha kwamba kama unataka furaha maishani basi hutakiwi kua na tama ya vitu au kujishikiza katika vitu/materials yoyote katika dunia hii, ishi maisha safi ya kawaida tu kwa kujali wengine bila kua na tama ya vitu maana furaha ya maisha haipo kwenye mali wala pesa since pesa sio kila kitu maishani.

Kuna jamaa mmoja alikua anaitwa Crates wa Thebe huyu bwana alipokua mfuasi wa falsafa ya cynicism alitupa mali zake zote baharini, kuna mwanamke mmoja aliitwa hipprochia alimpenda huyu bwana na maisha yake haya haya ya kutokujishikiza katika tamaa ya vitu/mali hivyo basi huyu mwanamke anye alitelekeza mali zake kutoka kwenye familia yake akaoana na jamaa wakaishi maisha duni.

Naamini humu jukwaani wapo watu wa namna hii so take this top as your shot to shout out and come out – to meet some peoples like you, Stoic.

-Da'Vinci

=======×××=====
Related Topics
 
-
Zeno of Cyprus is the founder of the popular philosophy stoicism. The once wealthy merchant lost everything when he was shipwrecked in Athens around 300 BCE.

-With not much else to do, he wandered into a bookstore, became intrigued by reading about Socrates and proceeded to seek out and study with the city's noted philosophers.

-As Zeno began educating his own students, he originated the philosophy known as Stoicism whose teachings of >virtue<, >tolerance< and >self-control<, have inspired generations of , thinkers and leaders.

-The name Stoicism comes from the stoa poikile,the decorated public colonnade where Zeno and his disciples gathered for discussion.

-Today we colloquially use the word Stoic to means someone who remains calm under pressure and avoids emotional extremes.

-But this while captures important aspects of stoicism, the original philosophy was more than just an attitude,the stoics believed everything around just operates according to a web of cause and effect, resulting in a rational structure of the universe, which the called (>LOGOS<), while we may not always have control over events affecting us, we can have control over how we approach things (Our Reactions).

-Rather than imagining an ideal society the stoic tries to deal with the world as it is, while pursuing self-improvement through four cardinal virtues:

1.>WISDOM<
The ability to navigate complex situations in a logical, informed, and calm manner.

2.>TEMPERANCE <
The exercise of self restraint and moderation in all aspects of life.

3.>JUSTICE<
Treating others with fairness even when they have done wrong.

4.>COURAGE<
Not just in extraordinary circumstances but facing daily challenges with clarity and integrity.
-As seneca, one of the most famous Roman stoics wrote "Sometimes even to live is an act of courage".

-But while >stoicism< focuses on personal improvement, it is not self centered philosophy, the idea is that only people who have cultivated virtue, tolerance and self-control in themselves can bring positive changes in others.

-Stoicism, it was used and encouraged by recent historical leaders like George Washington, Thomas Jefferson and Nelson Mandela.

-Marcus Aurelius was Roman emperor and famous stoic philosopher, Marcus had a journal where he kept his writings, Marcus's Journals would guide and comfort Nelson Mandela through his 27- imprisonment, during his struggle for racial equality in South Africa, after his release and eventual victory Mandela stressed peace and reconciliation, believing that while the injustices of the past couldn't be changed his people could confront them in the present and seek to build better more than just a future.

Chao.
 
Mkuu hao majamaa wanamoyo mkuu... Yaani kutojiattach na material things ni ngum...
Mimi imani yangu haitaki pia mtu kujiattach na vitu vya ulimwengu huu ila inatoa reward za material things baada ya kuwanguli spiritual
 
Mate...;

Neuralphysiology
ni somo linalojihusisha na jinsi neva zinavyotoa na kupokea taarifa hujikita zaidi katika ufanyaji kazi wa mfumo wa fahamu wa mwili. Autonomic Nervous System (ANS) Ni sehemu ya mfumo wa fahamu ambao huratibu matendo yanayofanyika ukiwa hujitambui au ukiwa umelala, pia huratibu shughuli mbalimbali za mwili kama vile mapigo ya moyo, mmeng’enyo wa chakula, kutanuka na kusinyaa kwa mboni,hamu ya kufanya mapenzi nk nk. Lakini pia shughuli yake kubwa ni kuratibu tezi ya Adrenali Kupambana au kukimbia pindi linapotokea tatizo Fulani. Kwa lugha rahisi Emotions vile mtu anavyojisikia, Saikolojia inasema kwamba Emotions zinasababishwa na mchanganyiko wa Homoni na unconscious mind, saikolojia inaongeza kua Emotions ni mambo ya kibailojia ambayo yanahusiana na mfumo wa fahamu na mabadiliko ya Neuralphysiolojia yahusianayo na mawazo,hisia,majibu ya tabia na kiwango cha raha au karaha..….Hivyo basi mambo yote hapo juu yanakua yanaratibiwa na mfumo wa Autonomic Nervous System (ANS) katika mwili wa mwanadamu.

Emotions zinmegawanywa katika makundi makuu manne ambayo kila moja imebeba mambo mawili ambayo hukinzana, makundi hayo ni:- Joy (furaha)/sadness(huzuni) Acceptance(kukubali-liwa)/disgust(kukataa-liwa), Anger (hasira)/fear(uoga), Surprise(mshituko-kizo)/anticipation(kutegemea). Lakini pia kuna aina zingine nyiingi za emotions kama vile anxiety,aggression,boredom,doubt,apathy,empathy,envy,embarrassment,frustration,gratitude,grief,guilt,hatred,hope,horror,hostility,hunger,loneliness,love,pride,shock,shame,suffering, sympathy, nk nk.

NB: Japo kwa tunaogonga yai la Kiswahili tafsiri ya neno Emotions na Feelings vyote vina maana moja ambapo ni Hisia, ila kwa lugha ya wenzetu maneno haya yana tofauti pana hasa kwenye upande wa saikolojia hivyo jitahidi usiyachanganye. Emotions ni mwitio wa mwili ambao unakua zimeamrishwa kupitia Neuraltransmitters na homoni zilizotolewa na ubongo. Ila Feelings ni ile experience unayoipata baada ya kuwa na emotional. So technically feeling zinatengenezwa na emotion kwa lugha rahisi tunaweza kusema feelings ni Output ya emotions.

Mwaka 334BC eneo Fulani liitwalo Citium katika jiji la Cyprus nchini Ugiriki (ya zamani) alizaliwa bwana mmoja anaitwa Zeno, kwakua nyakati hizo waliwaita watu majina yao kutokana na sehemu walizozaliwa kama vile Yesu wa Nazareth, Thomas wa Akwino, Francis wa Asizi nk nk basi nae jamaa huyu aliitwa Zeno wa Citium. Huyu bwana alikua mwanafalsafa aliyetumia akili yake vizuri katika kuwaza na kutatua changamoto zilizo mkabili,Huyu bwana aliigawa falsafa katika makundi matatu ambayo ni logic,Physics na Ethics.

Stoicism
View attachment 1756867
Zeno alifungua shule yake ya falsafa akawa anawafundisha watu flasafa yake ya stoicism ambayo ilikua na misingi ya watangulizi wake ambao ni plato, chrysspus (huyu chryspuss alikufa kwa kucheka, alitunga kichekesho/joke kikamchekesha akacheka hadi akafariki…sijui ndio akili nyingi mpaka unakua chizi).

Watu wanaofuata falsafa hii ya stoicism (stoic) wanaamini kwamba mwanadamu hutakiwi kujishikiza au kuendeshwa na emotions hizo nilizozitaja hapo juu yaani usiwe nafuraha,usiwe na huzuni,usiwe na hasira, usitegee kitu,usijikubali, usijikatae au kulazimisha kukubalika katika jamii nk nk. Wanaamini kwamba mwanadamu hutakiwi kujisumbua na vitu ambavyo wewe huwezi kuvi-Contorl inatakiwa uache mazingira/nature ndio ifanye kazi yake, kama itakuletea furaha basi chukua,kama itakuletea huzuni chukua yaani upokee chochote kile ambacho mazingira itakuletea.

Watu hawa nao hua ni wafiasi wa ile theory inayosema kwamba Attaching to material is detachement to the materials hivyo basi wao hawajihangaishi kutafuta pesa wala kujilimbikizia mali maana wanasema pesa na mali nyingi haziwezi kukupa furaha wala kupendwa sana hakuwezi kukupa furaha nk nk. Wao wanachojali zaidi ni kuheshimu Nature na kuiacha ifanye kazi maishani mwao kadri ipendavyo, japo stoic hawakatazwi kua na mali bali mali hizo ziwe zimekuja maishani mwako automatically kwa ruhusu ya Power of Nature maana baadhi ya wafuasi wa falsafa hii ambao ni maarufu walikua na mali nyingi tu kama vile Marcus aurelius aliyekua mtawala wa Roma na Seneca aliyekua milionea.

So thes guys wanachofanya ni ku-control Autonomic Nervous System zisiweze kuratibu uzalishaji wa emotions kwa mtu, katika mada zangu kadhaa nilieleza kwamba unaweza ku-draw your inner strength to face or to heal the body. Hivyo basi kwa kutumia reolientation of Soul wanaweza kuconvice ubongo uweze kuratibu emotions zao ziwe kadri ya vile wao wanapenda kua.

Lakini pia kuna watu tu by default wanazaliwa wao hawapendi mali wala kujishikiza kwenye material things yoyote…….wao wako tayari kupokea chochote kile tu ambacho nature itawapatia maishani mwao, binafsi naona hii ni falsafa bora ya kuishi nayo maishani maana ukiishi hivi huwezi kua na tama ya mali,madaraka wala umaarufu ambavyo ni vitu vilivyopoteza uhai wa wengi na kusababisha wengi kukosa haki zao kutoka kwenye mamlaka za ulimwengu. Yafaa nini kupata mali zote ulimwenguni mwenyewe huku wenzio wakiwa wanataabu pomoni na matatizo yasiyo isha. Ila kwa mwanaume hii hali ina madhara yake maana utatakiwa kuwa na familia ambayo uta-belong to, and belonging means to provide,care,responsibility,duty,lead,protectnk nk Unless labda uamue kutokua na familia kabisa uwe wewe kama wewe. Ukifuatilia wanafalsafa waliofuta falsafa hii wengi walikua hawana familia maana wanaamini mke na watoto nayo ni material that a man possess

Unlike Stoicism kuna hii falsafa nyingine inaitwa Cynicism (maana ya Cynic ni mtu aishie kama mbwa/homeless au yahaya), wafuasi wa falsafa hii wanafundisha kwamba mwanadamu unatakiwa usiwe na tama yoyote ya kupata furaha wala hutakiwi kuwa na mali zozote maishani maana wanaamini kua kama unataka kitu Fulani ukikipata utataka kingine, ukikipata utataka kingine hivyo hivyo maisha yako yote itakua hivo. This is correct maana maishani mwetu kila mtu hua halidhiki na kile alichonacho akipata kile anachotamani basi atataka kingine tena zaidi ya kile..n.dio maana kuna msemo unasema pesa haishi utamu. Wanafundisha kwamba kama unataka furaha maishani basi hutakiwi kua na tama ya vitu au kujishikiza katika vitu/materials yoyote katika dunia hii, ishi maisha safi ya kawaida tu kwa kujali wengine bila kua na tama ya vitu maana furaha ya maisha haipo kwenye mali wala pesa since pesa sio kila kitu maishani.

Kuna jamaa mmoja alikua anaitwa Crates wa Thebe huyu bwana alipokua mfuasi wa falsafa ya cynicism alitupa mali zake zote baharini, kuna mwanamke mmoja aliitwa hipprochia alimpenda huyu bwana na maisha yake haya haya ya kutokujishikiza katika tamaa ya vitu/mali hivyo basi huyu mwanamke anye alitelekeza mali zake kutoka kwenye familia yake akaoana na jamaa wakaishi maisha duni.

Naamini humu jukwaani wapo watu wa namna hii so take this top as your shot to shout out and come out – to meet some peoples like you, Stoic.

-Da'Vinci

=======×××=====
Related Topics
Katika soma soma zangu nilisoma na Mbrazil mmoja alikua mwanajeshi. Akawa anasema yeye hua hanaga stress kabiasa maishani make. Nilimshangaa Sana.
So huyu ni mmona wa stoics au?!
 
Ni ngumu sana kama hauna nia thabiti ya kutenda hivo. Ndio maana yule kwanafalsafa namba moja aliwahi kusema kwamba

Ili kuifata falsafa hii kwa dhati kabisa inabid uwe una uamsho fulani (Enlightenment) kiroho. Ndio maana hata Siddhartha Gautama (Budha) aliweza kuacha mali zote alizokua nazo ili aweze kupata taabu kama maskini na watu wa kawaida wengine
Ila kwakureasoning kwa life la sasahvi material things ni muhimu sana.... Kama ulivosema kuwa inaitaji uamsho flani hivi ... Pia inaitaji ubinafsi wa hali yajuu kufata ideology ya namna hii
 
That's why, our lovely Mother Theresa drop out this qoute.
20210420_183958.png

Stoicism philosophy - application yake katika ulimwengu wa sasa ambapo capitalism it take over everything ningumu sana. Kwa personal level unaweza kuiapply kwa kiasi chake lakini usipitilize mipaka coz mtu utakufa maskini.

Kwa sababu hakuna kitu kibaya duniani kama umaskini.
 
Mate...;

Neuralphysiology
ni somo linalojihusisha na jinsi neva zinavyotoa na kupokea taarifa hujikita zaidi katika ufanyaji kazi wa mfumo wa fahamu wa mwili. Autonomic Nervous System (ANS) Ni sehemu ya mfumo wa fahamu ambao huratibu matendo yanayofanyika ukiwa hujitambui au ukiwa umelala, pia huratibu shughuli mbalimbali za mwili kama vile mapigo ya moyo, mmeng’enyo wa chakula, kutanuka na kusinyaa kwa mboni,hamu ya kufanya mapenzi nk nk. Lakini pia shughuli yake kubwa ni kuratibu tezi ya Adrenali Kupambana au kukimbia pindi linapotokea tatizo Fulani. Kwa lugha rahisi Emotions vile mtu anavyojisikia, Saikolojia inasema kwamba Emotions zinasababishwa na mchanganyiko wa Homoni na unconscious mind, saikolojia inaongeza kua Emotions ni mambo ya kibailojia ambayo yanahusiana na mfumo wa fahamu na mabadiliko ya Neuralphysiolojia yahusianayo na mawazo,hisia,majibu ya tabia na kiwango cha raha au karaha..….Hivyo basi mambo yote hapo juu yanakua yanaratibiwa na mfumo wa Autonomic Nervous System (ANS) katika mwili wa mwanadamu.

Emotions zinmegawanywa katika makundi makuu manne ambayo kila moja imebeba mambo mawili ambayo hukinzana, makundi hayo ni:- Joy (furaha)/sadness(huzuni) Acceptance(kukubali-liwa)/disgust(kukataa-liwa), Anger (hasira)/fear(uoga), Surprise(mshituko-kizo)/anticipation(kutegemea). Lakini pia kuna aina zingine nyiingi za emotions kama vile anxiety,aggression,boredom,doubt,apathy,empathy,envy,embarrassment,frustration,gratitude,grief,guilt,hatred,hope,horror,hostility,hunger,loneliness,love,pride,shock,shame,suffering, sympathy, nk nk.

NB: Japo kwa tunaogonga yai la Kiswahili tafsiri ya neno Emotions na Feelings vyote vina maana moja ambapo ni Hisia, ila kwa lugha ya wenzetu maneno haya yana tofauti pana hasa kwenye upande wa saikolojia hivyo jitahidi usiyachanganye. Emotions ni mwitio wa mwili ambao unakua zimeamrishwa kupitia Neuraltransmitters na homoni zilizotolewa na ubongo. Ila Feelings ni ile experience unayoipata baada ya kuwa na emotional. So technically feeling zinatengenezwa na emotion kwa lugha rahisi tunaweza kusema feelings ni Output ya emotions.

Mwaka 334BC eneo Fulani liitwalo Citium katika jiji la Cyprus nchini Ugiriki (ya zamani) alizaliwa bwana mmoja anaitwa Zeno, kwakua nyakati hizo waliwaita watu majina yao kutokana na sehemu walizozaliwa kama vile Yesu wa Nazareth, Thomas wa Akwino, Francis wa Asizi nk nk basi nae jamaa huyu aliitwa Zeno wa Citium. Huyu bwana alikua mwanafalsafa aliyetumia akili yake vizuri katika kuwaza na kutatua changamoto zilizo mkabili,Huyu bwana aliigawa falsafa katika makundi matatu ambayo ni logic,Physics na Ethics.

Stoicism
View attachment 1756867
Zeno alifungua shule yake ya falsafa akawa anawafundisha watu flasafa yake ya stoicism ambayo ilikua na misingi ya watangulizi wake ambao ni plato, chrysspus (huyu chryspuss alikufa kwa kucheka, alitunga kichekesho/joke kikamchekesha akacheka hadi akafariki…sijui ndio akili nyingi mpaka unakua chizi).

Watu wanaofuata falsafa hii ya stoicism (stoic) wanaamini kwamba mwanadamu hutakiwi kujishikiza au kuendeshwa na emotions hizo nilizozitaja hapo juu yaani usiwe nafuraha,usiwe na huzuni,usiwe na hasira, usitegee kitu,usijikubali, usijikatae au kulazimisha kukubalika katika jamii nk nk. Wanaamini kwamba mwanadamu hutakiwi kujisumbua na vitu ambavyo wewe huwezi kuvi-Contorl inatakiwa uache mazingira/nature ndio ifanye kazi yake, kama itakuletea furaha basi chukua,kama itakuletea huzuni chukua yaani upokee chochote kile ambacho mazingira itakuletea.

Watu hawa nao hua ni wafiasi wa ile theory inayosema kwamba Attaching to material is detachement to the materials hivyo basi wao hawajihangaishi kutafuta pesa wala kujilimbikizia mali maana wanasema pesa na mali nyingi haziwezi kukupa furaha wala kupendwa sana hakuwezi kukupa furaha nk nk. Wao wanachojali zaidi ni kuheshimu Nature na kuiacha ifanye kazi maishani mwao kadri ipendavyo, japo stoic hawakatazwi kua na mali bali mali hizo ziwe zimekuja maishani mwako automatically kwa ruhusu ya Power of Nature maana baadhi ya wafuasi wa falsafa hii ambao ni maarufu walikua na mali nyingi tu kama vile Marcus aurelius aliyekua mtawala wa Roma na Seneca aliyekua milionea.

So thes guys wanachofanya ni ku-control Autonomic Nervous System zisiweze kuratibu uzalishaji wa emotions kwa mtu, katika mada zangu kadhaa nilieleza kwamba unaweza ku-draw your inner strength to face or to heal the body. Hivyo basi kwa kutumia reolientation of Soul wanaweza kuconvice ubongo uweze kuratibu emotions zao ziwe kadri ya vile wao wanapenda kua.

Lakini pia kuna watu tu by default wanazaliwa wao hawapendi mali wala kujishikiza kwenye material things yoyote…….wao wako tayari kupokea chochote kile tu ambacho nature itawapatia maishani mwao, binafsi naona hii ni falsafa bora ya kuishi nayo maishani maana ukiishi hivi huwezi kua na tama ya mali,madaraka wala umaarufu ambavyo ni vitu vilivyopoteza uhai wa wengi na kusababisha wengi kukosa haki zao kutoka kwenye mamlaka za ulimwengu. Yafaa nini kupata mali zote ulimwenguni mwenyewe huku wenzio wakiwa wanataabu pomoni na matatizo yasiyo isha. Ila kwa mwanaume hii hali ina madhara yake maana utatakiwa kuwa na familia ambayo uta-belong to, and belonging means to provide,care,responsibility,duty,lead,protectnk nk Unless labda uamue kutokua na familia kabisa uwe wewe kama wewe. Ukifuatilia wanafalsafa waliofuta falsafa hii wengi walikua hawana familia maana wanaamini mke na watoto nayo ni material that a man possess

Unlike Stoicism kuna hii falsafa nyingine inaitwa Cynicism (maana ya Cynic ni mtu aishie kama mbwa/homeless au yahaya), wafuasi wa falsafa hii wanafundisha kwamba mwanadamu unatakiwa usiwe na tama yoyote ya kupata furaha wala hutakiwi kuwa na mali zozote maishani maana wanaamini kua kama unataka kitu Fulani ukikipata utataka kingine, ukikipata utataka kingine hivyo hivyo maisha yako yote itakua hivo. This is correct maana maishani mwetu kila mtu hua halidhiki na kile alichonacho akipata kile anachotamani basi atataka kingine tena zaidi ya kile..n.dio maana kuna msemo unasema pesa haishi utamu. Wanafundisha kwamba kama unataka furaha maishani basi hutakiwi kua na tama ya vitu au kujishikiza katika vitu/materials yoyote katika dunia hii, ishi maisha safi ya kawaida tu kwa kujali wengine bila kua na tama ya vitu maana furaha ya maisha haipo kwenye mali wala pesa since pesa sio kila kitu maishani.

Kuna jamaa mmoja alikua anaitwa Crates wa Thebe huyu bwana alipokua mfuasi wa falsafa ya cynicism alitupa mali zake zote baharini, kuna mwanamke mmoja aliitwa hipprochia alimpenda huyu bwana na maisha yake haya haya ya kutokujishikiza katika tamaa ya vitu/mali hivyo basi huyu mwanamke anye alitelekeza mali zake kutoka kwenye familia yake akaoana na jamaa wakaishi maisha duni.

Naamini humu jukwaani wapo watu wa namna hii so take this top as your shot to shout out and come out – to meet some peoples like you, Stoic.

-Da'Vinci

=======×××=====
Related Topics
Thanks for the nice thread.
 
Alichokifanya Modern Author Mr. Ryan Holiday nikuchukua Ancient Greek philosophy pamoja na Roman Philosophy na kufanya real connection katika ulimwengu wa sasa kupitia changamoto mbalimbali zinazomface mwanadamu. Kupitia katika vitabu vyake kama "Ego is Enemy", "Stillness Is Key" and "Obstacle is the Way".

Kama unavyojua vitabu vingi vya philosophy ni vigumu sana kuvisoma kutokana na aina za vocabulary zitumikazo. Lakini Ryan Holiday amesimplify na kutumia baadhi ya modern vocabulary ilikufikisha ujumbe kwa njia rahisi kabisa.
 
Stillness Is Key (Utulivu ni Ufunguo) - By Ryan Holiday
Amekicategories katika sehemu kuu tatu yani :- (1) Mind (2) Soul (3) Body
 
Attachments

  • Stillness is the Key - Ryan Holiday ( PDFDrive ).pdf
    1.7 MB · Views: 49
Mate...;

Neuralphysiology
ni somo linalojihusisha na jinsi neva zinavyotoa na kupokea taarifa hujikita zaidi katika ufanyaji kazi wa mfumo wa fahamu wa mwili. Autonomic Nervous System (ANS) Ni sehemu ya mfumo wa fahamu ambao huratibu matendo yanayofanyika ukiwa hujitambui au ukiwa umelala, pia huratibu shughuli mbalimbali za mwili kama vile mapigo ya moyo, mmeng’enyo wa chakula, kutanuka na kusinyaa kwa mboni,hamu ya kufanya mapenzi nk nk. Lakini pia shughuli yake kubwa ni kuratibu tezi ya Adrenali Kupambana au kukimbia pindi linapotokea tatizo Fulani. Kwa lugha rahisi Emotions vile mtu anavyojisikia, Saikolojia inasema kwamba Emotions zinasababishwa na mchanganyiko wa Homoni na unconscious mind, saikolojia inaongeza kua Emotions ni mambo ya kibailojia ambayo yanahusiana na mfumo wa fahamu na mabadiliko ya Neuralphysiolojia yahusianayo na mawazo,hisia,majibu ya tabia na kiwango cha raha au karaha..….Hivyo basi mambo yote hapo juu yanakua yanaratibiwa na mfumo wa Autonomic Nervous System (ANS) katika mwili wa mwanadamu.

Emotions zinmegawanywa katika makundi makuu manne ambayo kila moja imebeba mambo mawili ambayo hukinzana, makundi hayo ni:- Joy (furaha)/sadness(huzuni) Acceptance(kukubali-liwa)/disgust(kukataa-liwa), Anger (hasira)/fear(uoga), Surprise(mshituko-kizo)/anticipation(kutegemea). Lakini pia kuna aina zingine nyiingi za emotions kama vile anxiety,aggression,boredom,doubt,apathy,empathy,envy,embarrassment,frustration,gratitude,grief,guilt,hatred,hope,horror,hostility,hunger,loneliness,love,pride,shock,shame,suffering, sympathy, nk nk.

NB: Japo kwa tunaogonga yai la Kiswahili tafsiri ya neno Emotions na Feelings vyote vina maana moja ambapo ni Hisia, ila kwa lugha ya wenzetu maneno haya yana tofauti pana hasa kwenye upande wa saikolojia hivyo jitahidi usiyachanganye. Emotions ni mwitio wa mwili ambao unakua zimeamrishwa kupitia Neuraltransmitters na homoni zilizotolewa na ubongo. Ila Feelings ni ile experience unayoipata baada ya kuwa na emotional. So technically feeling zinatengenezwa na emotion kwa lugha rahisi tunaweza kusema feelings ni Output ya emotions.

Mwaka 334BC eneo Fulani liitwalo Citium katika jiji la Cyprus nchini Ugiriki (ya zamani) alizaliwa bwana mmoja anaitwa Zeno, kwakua nyakati hizo waliwaita watu majina yao kutokana na sehemu walizozaliwa kama vile Yesu wa Nazareth, Thomas wa Akwino, Francis wa Asizi nk nk basi nae jamaa huyu aliitwa Zeno wa Citium. Huyu bwana alikua mwanafalsafa aliyetumia akili yake vizuri katika kuwaza na kutatua changamoto zilizo mkabili,Huyu bwana aliigawa falsafa katika makundi matatu ambayo ni logic,Physics na Ethics.

Stoicism
View attachment 1756867
Zeno alifungua shule yake ya falsafa akawa anawafundisha watu flasafa yake ya stoicism ambayo ilikua na misingi ya watangulizi wake ambao ni plato, chrysspus (huyu chryspuss alikufa kwa kucheka, alitunga kichekesho/joke kikamchekesha akacheka hadi akafariki…sijui ndio akili nyingi mpaka unakua chizi).

Watu wanaofuata falsafa hii ya stoicism (stoic) wanaamini kwamba mwanadamu hutakiwi kujishikiza au kuendeshwa na emotions hizo nilizozitaja hapo juu yaani usiwe nafuraha,usiwe na huzuni,usiwe na hasira, usitegee kitu,usijikubali, usijikatae au kulazimisha kukubalika katika jamii nk nk. Wanaamini kwamba mwanadamu hutakiwi kujisumbua na vitu ambavyo wewe huwezi kuvi-Contorl inatakiwa uache mazingira/nature ndio ifanye kazi yake, kama itakuletea furaha basi chukua,kama itakuletea huzuni chukua yaani upokee chochote kile ambacho mazingira itakuletea.

Watu hawa nao hua ni wafiasi wa ile theory inayosema kwamba Attaching to material is detachement to the materials hivyo basi wao hawajihangaishi kutafuta pesa wala kujilimbikizia mali maana wanasema pesa na mali nyingi haziwezi kukupa furaha wala kupendwa sana hakuwezi kukupa furaha nk nk. Wao wanachojali zaidi ni kuheshimu Nature na kuiacha ifanye kazi maishani mwao kadri ipendavyo, japo stoic hawakatazwi kua na mali bali mali hizo ziwe zimekuja maishani mwako automatically kwa ruhusu ya Power of Nature maana baadhi ya wafuasi wa falsafa hii ambao ni maarufu walikua na mali nyingi tu kama vile Marcus aurelius aliyekua mtawala wa Roma na Seneca aliyekua milionea.

So thes guys wanachofanya ni ku-control Autonomic Nervous System zisiweze kuratibu uzalishaji wa emotions kwa mtu, katika mada zangu kadhaa nilieleza kwamba unaweza ku-draw your inner strength to face or to heal the body. Hivyo basi kwa kutumia reolientation of Soul wanaweza kuconvice ubongo uweze kuratibu emotions zao ziwe kadri ya vile wao wanapenda kua.

Lakini pia kuna watu tu by default wanazaliwa wao hawapendi mali wala kujishikiza kwenye material things yoyote…….wao wako tayari kupokea chochote kile tu ambacho nature itawapatia maishani mwao, binafsi naona hii ni falsafa bora ya kuishi nayo maishani maana ukiishi hivi huwezi kua na tama ya mali,madaraka wala umaarufu ambavyo ni vitu vilivyopoteza uhai wa wengi na kusababisha wengi kukosa haki zao kutoka kwenye mamlaka za ulimwengu. Yafaa nini kupata mali zote ulimwenguni mwenyewe huku wenzio wakiwa wanataabu pomoni na matatizo yasiyo isha. Ila kwa mwanaume hii hali ina madhara yake maana utatakiwa kuwa na familia ambayo uta-belong to, and belonging means to provide,care,responsibility,duty,lead,protectnk nk Unless labda uamue kutokua na familia kabisa uwe wewe kama wewe. Ukifuatilia wanafalsafa waliofuta falsafa hii wengi walikua hawana familia maana wanaamini mke na watoto nayo ni material that a man possess

Unlike Stoicism kuna hii falsafa nyingine inaitwa Cynicism (maana ya Cynic ni mtu aishie kama mbwa/homeless au yahaya), wafuasi wa falsafa hii wanafundisha kwamba mwanadamu unatakiwa usiwe na tama yoyote ya kupata furaha wala hutakiwi kuwa na mali zozote maishani maana wanaamini kua kama unataka kitu Fulani ukikipata utataka kingine, ukikipata utataka kingine hivyo hivyo maisha yako yote itakua hivo. This is correct maana maishani mwetu kila mtu hua halidhiki na kile alichonacho akipata kile anachotamani basi atataka kingine tena zaidi ya kile..n.dio maana kuna msemo unasema pesa haishi utamu. Wanafundisha kwamba kama unataka furaha maishani basi hutakiwi kua na tama ya vitu au kujishikiza katika vitu/materials yoyote katika dunia hii, ishi maisha safi ya kawaida tu kwa kujali wengine bila kua na tama ya vitu maana furaha ya maisha haipo kwenye mali wala pesa since pesa sio kila kitu maishani.

Kuna jamaa mmoja alikua anaitwa Crates wa Thebe huyu bwana alipokua mfuasi wa falsafa ya cynicism alitupa mali zake zote baharini, kuna mwanamke mmoja aliitwa hipprochia alimpenda huyu bwana na maisha yake haya haya ya kutokujishikiza katika tamaa ya vitu/mali hivyo basi huyu mwanamke anye alitelekeza mali zake kutoka kwenye familia yake akaoana na jamaa wakaishi maisha duni.

Naamini humu jukwaani wapo watu wa namna hii so take this top as your shot to shout out and come out – to meet some peoples like you, Stoic.

-Da'Vinci

=======×××=====
Related Topics

Ukiisha jua ukubwa wako hauwezi kuwa na attachments nyingi

Shida ipo kwenye huo utambuzi wa kujua nafasi yako/yetu na kujua kwamba wewe/sisi ni sehemu ya ‘uumbaji’

Tulipo poteza utambuzi wetu wa kujua sie ni sehemu ya ‘chanzo’ na tukiweza kurudi kwenye hicho chanzo chetu hakuna vitu/hali inayoweza kuwa kubwa zaidi ya sisi na tupo ku experience hali zote zinazotutokea ktk life time yetu kwenye uso huu wa dunia
 
... Accepting your reality after exploring yourself -Spiritual Self Awareness

Splendid, that's an objection

Salute, Ndio maana katika safari ya kujitambua wewe ni nani lazima uanze kujiuliza ulitoka wapi. Since a hero can't exist in vacuum basi hivo hivo mwanadamu can't exist accidentally there's something greater which planned and caused all things in the universe in magnificent ways

kwa kutumia ithibati ya pili katika uthibitisho wa uwepo wa Mungu ulivyoelezwa na mwanafalsafa Thomas wa Akwino ambayo ni The First Causation wachawi/waganga nao wanaamini kwamba Mungu yupo na kila kitu kimetokea kwa sababu yake pia kwa kulitambua hilo wanaamini katika Scale of balance kwamba kila kitu kina kinyume chake kama Kuna nuru basi kuna giza, kama kuna kushoto basi kuna kulia,kama kuna mwanamke basi kuna uhai, kama kuna uhai basi kuna kifo nk nk.
Hili uweze kujitambua lazima ucultivate inner peace na inner silent hili uweze kujua real purpose of you ya kuwa hapa dunia.

Ndio maana naamini mafanikio ya mtu ni utulivu wake katika jambo husika. Utulivu ni ufunguo wa kila kitu katika maisha yetu. Mtu mtulivu sio mropokaji daima atafanya right decision at the right time.

Watu wengi tunadevelop tabia ambazo sio zetu kutokana na taarifa nyingi tunazosikiliza, miziki tunayosikiliza na makelele makelele mengine tunayosikia ambayo hayana faida kwetu yanatuseparate na kutuweka mbali na Nature ambayo ndio asili yetu na kushindwa kujijua au kujisoma vyema wewe kama mwanadamu.

Jamaa mmoja nchini marekani alipendekeza binadamu tuwe tunahadhimisha siku ya utulivu duniani. Hili tuweze kujisoma vyema kiroho, kimwili na kiakili.
 
Sahihii kabisa mkuuu , shukrani
 
Obstacle Is the Way - By Ryan Holiday

Ni moja ya kati ya vitabu chenye falsafa ya hali juu. Ni jinsi gani unaweza kugeuza changamoto au vikwazo na kuwa ndio njia au mlango wako wa mafanikio. Pia amekigawa katika sehemu tatu yani (1) Perception (2) Action (3) Will .
 
Attachments

  • The obstacle is the way ( PDFDrive ).pdf
    1 MB · Views: 48

Similar Discussions

Back
Top Bottom