Meek mill, Drake, J.Cole, Kendrick Lamar,

bbwaoy

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
466
467
Kama wewe ni mfatiliaji mzuri Rap/ hip hop music, vichwa tajwa hapo juu utakua ina visoma ipasavyo,..... Nani mkaki? Nani Ana zile amsha popo kwenye stage? nani Ana fan base kubwa? Nani Ana kufanya uweke bundle ku download ngoma sake kila ukisikia ina aachiwa....? Ina hisi nani atakua Ana pendwa kati ya hao kwenye list?

Binafsi, nashinda kwenye nets napo kua free kuangalia hawa jamaa wote kwa nyakati tofauti tofauti, na nangaalia shows zao, interviews, viewers comments... Binafsi unaweza kusema DRAKE kawa piga bao wote ...huenda sio kwa mashairi Yake kuntu kwako sababu J.COLE NA KENDRICK LAMAR hawa jamaa ni noma, ila generally DRAKE is more liked and he makes good money zaidi yao.

Una wazo tofauti? Em share hapa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom