Meego is dead! Long live WP7!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Meego is dead! Long live WP7!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kang, Feb 11, 2011.

 1. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Nokia wameamua kuungana na M$, high end smartphone za Nokia now zitakuwa zinatumia OS ya M$ WP7!! Great move!
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Please technician watu wa teknolojia tuelewe watu wanasoma hili jukwaa wanauelewa tofauti n tofauti. na ni watu wa career tofauti. lets not bombard others with owrd wakatitungeweza kutumia maneno rahisi. .

  Sasa hii M$ ni nini? . I gues its Microsoft na Hii WP7 i guess ni window phone 7 . Am i right ?

  Any way tukirdi kwenye mada kama WP7 ni windows phone seven mbona Nokia wamekuwa wanatumia windows mobile kwenye baadhi ya simu siku nyingi tu .Is there something new am missing in this merger
   
 3. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ooops! One step backward on users side if you know windoze monopoly policies! So all smart phnes will be windozed? Source please :msela:
   
 4. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ebu fafanua mkuu mana nokia tangu zamani wanazo windos phone so what new
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Nokia hawajawahi kuwa na Windows phone, sijui umenunua wapi hiyo mkuu.
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
 7. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Source: Nokia - Nokia on the Web
   
 8. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kang kama aliyosema Yeshua

  Windows7 phone performance yake kwenye mobile sio nzuri. Its far much better symbian . Hata ukisoma reviews mbali mabli za windows 7. . kama ni kweli Nokia wanai damp Symbiana watakuwa wanafanya kosa kubwa. Symbiana ndio Icon ya Nokia sasa wanazidi kwenda kushoto.

  • Wanasema Some model touch screen ya window 7 iko sticky na nzito. Hii hata mm nina experince
  • Na wanasema OS wa window 7 haikuwa desinged kwa ajili ya mobile hiyo WP7 wamelazmisha tu sababu ya ndio teknolojia inapoelekea so wakaamua fasta kuleta kitu cha mobile.
  • The same hata simu zenye windows mobile ni nzito sana. Nimetumia simu kila baada ya muda mchache ilikuwa inabidi nifanye soft restart

  Hope Nokia wataendelea na symbiankwa muda tu. Hawawez ikuingia mkenge wa kudump OS ambayo wana 100% control nayo waende kwenye OS ya third party amabyo hawana exclusive right
   
 9. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #9
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  here's a little tip...nokia wamejiunga na intel kupika OS inayoitwa MeeGo badala ya Maemo ambayo inaoperate kwnye Communicator za Nokia mfn N900...Na habar ni kwamba MeeGo itaweza kua launched na Nokia N9...na ukiangalia symbian..bdo haijafa cuz OS mpya ya symbian ambayo ni Symbian^3 ndo kwnza imelaunch na Nokia N8 na inaendelea kwnye C series na E series device za Nokia...
   
 10. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nipo hapa na jamaa yangu wa asili ya Asia, hana raha kabisa tangu asubuhi akilaani kitendo cha bosi wa zamani wa Nokia ambaye sasa ameajiriwa na Microsoft, kuinfluence hiyo move ya OS.
   
 11. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #11
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  nokia ndo wanashkilia raman ya mobile phone duniani...kuwaondoa ts gonna take more than that!
   
 12. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #12
  Feb 11, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Windows Phone 7 haistick mzee usichanganye na Windows Mobile, Windows Phone 7 ni mpya imetoka October, completely redesigned from the ground up kwa ajili ya touch. Kila mtu anayereview WP7 anasifia responsiveness na UI yake. habari ndiyo hiyo Symbian is out, hiyo chart ya hapo juu ni staight from Nokia, of course kuna transition period itakuwepo.
   
 13. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #13
  Feb 11, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Leo Nokia wametangaza kuwa Meego is no more, simu za smartphone ni Windows Phone 7 from now on. Symbian refer to the chart above, wanai phase out slowly.
   
 14. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #14
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Lets wait and see lakini i think this is more an economic move zaidi ya innovative move ya Nokia. na it may cost them in the long run.

  Nimesoma haraka haraka review za watu kwenye hiyo blog ya Nokia it can tell a reader a lot.

  But for africa Nokia will still have its biggest mrekt share no matter what.
   
 15. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #15
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Man, Steve Ballmer need you as M$ PR!
  Just a joke!
   
Loading...