Meditation in your daily routine

kwa mujibu wa malezo alio yatoa #Rakims nili jaribu sana lakini niliishia kushidwa
 
Mi nauliza swali.....Nilijaribu kufanya meditation,hio siku ilikua usiku nimelala nilikua nausoma huu uzi nikasema ngoja nijaribu, tena nikafanya ile ya kuvuta pumzi nikwa nimelala chali .....kilichotokea ni kua nikawa naota ...katka hi ndoto nikua niliota nikiwa mtaani kwangu natembea kuelekea geto kwa rafki yangu sasa nilipo karibia pale geto nje kwa mshikaji...nikawa naona wanawake wamekaa nje ya nyumba chini njiani wamevaa kaniki , sasa chakushangaza nikawa nawasalimia wenyewe hawanijibu !!Sasa basi Nikamgongea hodi jamaa akaitika kuja kufungua mlango ile namwangalia usoni namuona yani kama mtu flan kalewa hv yani kama ana malue lue...Baada ya nikashutuka usingizini . Ndo hapo bado sijaelewa ile ndoto nilichokiona ndo nikweli ? Na kuna uhusino gani hapo meditation?
 
Meditation ni tendo hai, wewe ulianza lakini kwakuwa ulikuwa usiku mwingi ukasinzia na kupotelea ndotoni...kilichokutokea hakina uhusiano wowote na meditation..ni ndoto za kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…