Baraka Ngwavi
Member
- Jul 17, 2014
- 20
- 2
Wadau wa jf iv izi koz medicine na pharmacy ipo inalipa zaidi
actually you got it twisted, pharmacy ndio rahisi kujiajiri na ina uwigo mkubwa zaidi huko mbeleni kuanzia business, botany, clinical, policies, pharmacy yenyewe etc.Kwa upande wangu ni medicine,maana ina uwanja mpana pia wa kujiajiri,coz huwezi kutajirika kwa kutegemea kuajiriwa tu
Kwa upande wangu ni medicine,maana ina uwanja mpana pia wa kujiajiri,coz huwezi kutajirika kwa kutegemea kuajiriwa tu
unasoma ili ilipe au ni wito?watanzania hovyo sana
PharmacyWadau wa jf iv izi koz medicine na pharmacy ipo inalipa zaidi
Ni kweli kabisa.Tatizo hatuna uelewa huo.Kwa ulimwengu wa sasa na Tanzania yetu ukifuata stori za kozi gani inalipa na ina maslahi unaweza kuja kujialaumu baadae . Soma kitu ambacho utakimudu, Una passion nacho na hautakuja kujutia baadae. Nashauri uusikilize moyo wako unataka nini baada ya hapo soma hicho kitu halafu namna ya kutengeneza pesa ni ubunifu wako tu na kuchangamkia fursa.