Kwa ufahamu wako mpaka sasa fault zote kwenye gari ni mechanical kwa kuzingatia magari mengi siku hizi yana lots of electrical na electronic components au systems ambazo zimekuwa integrated na mechanical systems. Halafu toa mfano ambao ni specific ili ueleweke unataka kusema nini.
Je, madaktari ndio hawakosei kufanya diagnosis ya magonjwa? Pale MOI mgonjwa wa kichwa kupasuliwa goti na wa goti kupasuliwa kichwa, je hii unaitazama vipi?
noo...we are trying to compare in real life situation..achana na maembe na machungwa kwa mfano doctor akifanya mistake in surgery anasababisha kifo......lakin engineer akifanya mistake kuna nafasi ya kurekebisha before release.Hii tabia ya kulinganisha oranges na apples, na kutoa generalization kwa kutumia cherry picking style ni hatari kwenye kuzalisha knowledge yenye manufaa kwa jamii.
unamanisha kuwa hata doctor akipewa kufundisha history form two anachemka???Hakuna logic hata nusu hapo MTU yoyote anaweza kua creative katika kazi yake haijalishi ni engineer au daktari
So kwa mchango wangu naona inategemeana na juhudi ya kutafuta maarifa na understanding capacity ya fani ya MTU...!
hapana....according to your explaination sijakuelewa,,kwann unasema mechanical engineer sio fundi ebu elezea kinagaubagaUwii mtoa mada tatizo hana uelewa fani zote alizozileta hapa kwa mfano mechanical engineer siyo fundi lazima alijue hilo halafu ndo Tuendelee
kuna tofauti kati ya fundi, technician na mhandisi! injinia sio fundi na fundi sio technician na technician sio injiniasasa fundi ni techinician au fundi ni engineer ...ebu dadafua
eti ni kweli medical students are not creative than engineering students ........
lakin napata mashaka kwani kuna maengineer wengine waliosoma miaka minne tena elimu ya chuo kikuu mechanical engineering lakin hawawezi kutrace tatizo dogo tu kwenye gari,,,yaaan namanisha
"There are some people who spent4 years in the university studying Mechanical engineering yet they won't be able to detect even the least fault in a car"
ebu twende kwenye conceptual analysis kwa mtazamo wangu mie naona maengieer wako vizuri na huko mbeleni kutatokea programme za ki IT zitakazowareplace madoctor japo ni baadae sana....
N.B huu ni mtazamamo tu mawazo masela msijenge chuki na mimi..haya ni mawazo tu,,,,,mengine yanakaribishwa jukwaani...
wale waliosoma masomo ya sanaa nawaomba nyie muwe mashabiki tu...huu uzi unawahusu kidogo mnaweza kutoa mchango wenu...
Simaanish hivyo ila napinga dhana ya kudhani kua engineer is more creative than doctor or vice versaunamanisha kuwa hata doctor akipewa kufundisha history form two anachemka???
unaposema ivo unafeli kijana......definition ya creative person inasema hivi ''a person who grows or makes or invents things''......definition hii inabezi kwenye science tu ndo maana tunapata mtu anayeitwa creator...lakn kwenye social science hatunaga macreator ila tuna watu kama illustrators ambao kazi yao ipo kisanaa zaidi yaan illustrator is an artist who makes illustrations (for books or magazines or advertisements etc.)Simaanish hivyo ila napinga dhana ya kudhani kua engineer is more creative than doctor or vice versa
Ucreative wa MTU ni juhudi yake kutafuta maarifa na understanding capacity
They might be semi gods as you say but engineers are creators...they are "full and not semi gods" as doctors...Guy, you're so funny..........dont you know that medical students are semi God?????