Medical laboratory VS Clinical officer

Wakuu plz naomba ushauri ni kozi gan ipo poa kati ya dipoma in medical laboratory sciences na diploma in clinical medicine?

PLZ msaada hapo?
Inategemea malengo yako. kama una aspiration ya kuwa MD, nenda clinical medicine. Short of that nenda ukakoroge mavi! si unajua kuwa stool preparations for analysis lazima ukoroge mavi!😁😁😁😁😁 usijali utani kidogo tu. I have my kid in the same kozi!
 
Swali lako lipo kitoto sana

Toa specifications zako in terms of Academic qualifications , dreams zako au preference zingine then from there wakongwe tunaweza kukusaidia

Kwa mfano unaweza Ukafunguka ukapata msaada mujarab ukajikuta una opt kusoma Medical Engineer ukaachana na Course ulizotaja
 
Kama unataka kupiga pesa kasome laboratory science. Kama unataka uwe md basi CO inakufaa
 
Inategemea malengo yako. kama una aspiration ya kuwa MD, nenda clinical medicine. Short of that nenda ukakoroge mavi! si unajua kuwa stool preparations for analysis lazima ukoroge mavi!😁😁😁😁😁 usijali utani kidogo tu. I have my kid in the same kozi!
Barikiwa sana ndgu.
 
Pesa

Nafikiri kama anataka kupata pesa kidogo ya kujikimu laki tano sita anaweza kusoma medical laboratory science.

Kama unataka kupiga pesa kasome laboratory science. Kama unataka uwe md basi CO inakufaa
 
Wakuu plz naomba ushauri ni kozi gan ipo poa kati ya dipoma in medical laboratory sciences na diploma in clinical medicine?

PLZ msaada hapo?
Hujakamilisha maelezo.. iko poa kwenye nyanja ipi?? maana kila moja hapo iko poa kwa namna yake
 
Back
Top Bottom