Medical laboratory or Health laboratory

sir doctor

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
291
66
Habarini wakuu,

Mwenye kumfahamu hii kozi anisaidie kwa upande was ajira. Chuo vizuri cha kusomea wana jf
 
Mwenye kumfahamu hii kozi anisaidie kwa upande was ajira. Chuo vizuri cha kusomea wana jf
Unataka ngazi ipi?

Hiyo kozi iko sokoni sana, wahitimu wanahitajika sehemu nyingi.
Kama Certificate karibu kwetu Mwasenda College of Health Sciences, tupo jijini Mwanza, gharama zetu ni nafuu sana ukilinganisha na vyuo vingine private.
Mwakani ndo tunaanza kutoa Diploma.
 
Nataka degree mkuu
 
Vyuo vinavyotoa medical lb (BMLS) ni muhimbili , bugando , KIU na IMTU ,,,, KCMC wanatoa health lab ,, ajira zipo ,,,na unaweza kujiajili pia ,,
 
Bugando ni chuo kizuri.. wanafunzi wana pata exposure kubwa ya ku practise kuliko vyuo vingine.. hata interns wanao toka bugando wengi wanakua competative n skilfull..
 
Back
Top Bottom