Mediation CMA

dumejike

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
325
68
Habarini..

HABARINI,
Naomba kuuliza wanasheria na maafisa utumishi ,je mfanyakazi akileta malalamiko ya kesi kua inatakiwa ufike ofisi za mediation wewe kama employer ni lazima kuijibu barua ya malalamiko(summacy) kabla ya muda wa mediation haujafika? ,na je ni lazima kwenda na mwanasheria,msaada please
 
Siyo lazima, anatakiwa kufika siku aliyoambiwa kwenye barua ya wito! (Jifunze kujieleza vizuri)
 
Piga mahesabu kama kesi akishinda itakugharimu kiasi gani, kama itakugharimu sana tafuta mwanasheria

Pili, kama ni kesi ya kwanza kabisa kwa kampuni yako kupelekwa CMA, tafuta mwanasheria and make sure unashinda, ukishindwa jiandae kupelekwa huko mara kwa mara

Tatu kwa ajili ya kupata experience ya CMA make sure una attend, na usiwe muoga hamna kufungana pale

Nne na la msingi, fuata sheria katika ku deal na employees, kila kitu kiwe formal, hauna udhibitisho unashindwa

Just incase umepangiwa kwa mh. Batenga jiandae kisaikoloia kwa dharau zake
 
Hapo kwenye RED ndipo wanapopigwa bao employers weng, na hasa wote wanaoshindwa kesi pale si CMA tu, bali hata Labour Court.
 
HABARINI,
Naomba kuuliza wanasheria na maafisa utumishi ,je mfanyakazi akileta malalamiko ya kesi kua inatakiwa ufike ofisi za mediation wewe kama employer ni lazima kuijibu barua ya malalamiko(summacy) kabla ya muda wa mediation haujafika? ,na je ni lazima kwenda na mwanasheria,msaada please

Ukumbuke kwamba CMA ni sehemu ya mhimili wa Mahakama. Summons ni wito wa Mahakama na hivyo hayo unayoyataka yatunze yawe ni hoja ya kuji-defend huko Mahakamani (CMA).

Pia hukutuambia, huyo ni mafanyakazi au aliyekuwa mfanyakazi, maana kesi nyingi za CMA ni za aliyekuwa mfanyakazi ameshafukuzwa na nijuavyo waajiri wengi hampendi kushitakiwa na mfanayakazi ambaye hajafukuzwa na anaendelea kuwa staff wenu.
 
HABARINI,
Naomba kuuliza wanasheria na maafisa utumishi ,je mfanyakazi akileta malalamiko ya kesi kua inatakiwa ufike ofisi za mediation wewe kama employer ni lazima kuijibu barua ya malalamiko(summacy) kabla ya muda wa mediation haujafika? ,na je ni lazima kwenda na mwanasheria,msaada please

Summacy = summons
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom