VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 8,145
- 12,744
...kupata habari kamili za kina ,za kiuchambuzi na za kuaminika inaenda kuwa ngumu mana media nyingi hususani redio na televisheni pamoja na magazeti.. si tu za bongo ni karibu zote duniani.. zimekuwa zikitumika kisiasa na watawala.
njia pekee kupata habari.. walau za kina kidogo ni kupitia social media.
Umesema ukweli...