Ukraine akirusha drone na kuleta madhara hawatangazi ila Russia akijibu mapigo wanatangaza juzi Kuna kitu kizito pale sumy Ukraine kimerushwa hahaha huko kelele TU sasa hivi
Ustadhi unalalamika nini, tuletee habari wacha kulia lia, mlitegemea Urusi ndiye atawaokoa kwenye chuki zenu dhidi ya Marekani, sasa Urusi ameshindwa kufumua kainchi jirani hapo ππππ