Kaa kwenye point kuu ya mleta mada.Najua tatizo wamekopy wasafi mbona wamekopi wengi.
Clouds e na Social Buzz-Wamekopi EATV kipindi alikuwa anatangaza Dominic Nyalifa.
XXL-Wamekopi Radio One kipindi hiko mtangazaji Aboubakar Sadiq.
After Skul Bash-Wamekopi Likizo Tyme ya Majizo.
Asikudanganye mtu kwa upande wa kuandaa vipindi vya TV vya burudani vijana EATV hawana mpinzani,TV nyingi wamekopi toka kwao.Ukija redio One 80% ya radio zite TZ wamechukua vionjo vingi kutoka kwao.
Sasa kwani kuna ubaya gani mbona ukisikiliza mtiririko wa redio nyingi wamekopi na kupaste,ila umewaona Wasafi.
Ila si shangai kuna watu wanaumizwa namafanikio ya mda mfupi waliyoyapata Wasafi Media,kwani ukizungumzia radio tatu zinazofanya vizuri Dar lazima Wasafi ipo na upande wa streaming Youtube wanaongoza.
Sawa Shafii kubali kuwa zama zenu ndo kwishney kila mtu "WASAFII"Mambo ndo hay😵k.Tufanye basi wamekopi basi kwa kuwa ninyi ni creative basi badilisheni vingine mtengeneze mwone kama ni rahisi kubuni kitu kipya.Kaa kwenye point kuu ya mleta mada.
malkia wa nguvu (clouds) wanatoa hadi tuzo na wasafi na wenyewe wamefanya hivohivo..unaweza kuenzi siku hii ya wanawake in a different way..
Media nyingi zinawaangalia Clouds wanachofanya kama vile ni kitu cha ulazima kufanyika
pathetic
Mimi mbona sijatoka nje ya mjadala.Kaa kwenye point kuu ya mleta mada.
malkia wa nguvu (clouds) wanatoa hadi tuzo na wasafi na wenyewe wamefanya hivohivo..unaweza kuenzi siku hii ya wanawake in a different way..
Media nyingi zinawaangalia Clouds wanachofanya kama vile ni kitu cha ulazima kufanyika
pathetic
Mkuu upande wa tv bado hawajaanza wanakamilisha vipindi vya redio kwanza ndio maana unaona wanapiga miziki muda mwingi..si unajua media bado mpyaHivinajiuliza hawa wasafi wameshindwa kuwa creative?
Mbna kila kipindi au mradi wanakopi?
Kuanzia kivumbi cup-ndondo cup
Block 89-fnl
Wasafi festival-fiesta
Superwoman-malkia wa nguvu
Sports arena-e sports
Refresh-e news/clouds e
Ifike pahala waache huu upuuzi, wanaboa kiukweli
Hata tv yao hawana vipindi creative na endelevu, vinaanza na kuishia njiani
Tv haina kipind kinachoeleweka muda wote ni muziki tena wa kurudia rudia, boss wao akifanya besdei wako live sijui nan kafanya nn wako live hawana msimamo kwa kweli yaan vurugu mechi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu njoo upate na Pepsi bariiiidiNajua tatizo wamekopy wasafi mbona wamekopi wengi.
Clouds e na Social Buzz-Wamekopi EATV kipindi alikuwa anatangaza Dominic Nyalifa.
XXL-Wamekopi Radio One kipindi hiko mtangazaji Aboubakar Sadiq.
After Skul Bash-Wamekopi Likizo Tyme ya Majizo.
Asikudanganye mtu kwa upande wa kuandaa vipindi vya TV vya burudani vijana EATV hawana mpinzani,TV nyingi wamekopi toka kwao.Ukija redio One 80% ya radio zite TZ wamechukua vionjo vingi kutoka kwao.
Sasa kwani kuna ubaya gani mbona ukisikiliza mtiririko wa redio nyingi wamekopi na kupaste,ila umewaona Wasafi.
Ila si shangai kuna watu wanaumizwa namafanikio ya mda mfupi waliyoyapata Wasafi Media,kwani ukizungumzia radio tatu zinazofanya vizuri Dar lazima Wasafi ipo na upande wa streaming Youtube wanaongoza.
Hata mtoa mada kakiri ya kwamba anafuatilia wasafi tv/FMSawa Shafii kubali kuwa zama zenu ndo kwishney kila mtu "WASAFII"Mambo ndo hay😵k.Tufanye basi wamekopi basi kwa kuwa ninyi ni creative basi badilisheni vingine mtengeneze mwone kama ni rahisi kubuni kitu kipya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mtoa mada unateseka kiasi hichoHivinajiuliza hawa wasafi wameshindwa kuwa creative?
Mbna kila kipindi au mradi wanakopi?
Kuanzia kivumbi cup-ndondo cup
Block 89-fnl
Wasafi festival-fiesta
Superwoman-malkia wa nguvu
Sports arena-e sports
Refresh-e news/clouds e
Ifike pahala waache huu upuuzi, wanaboa kiukweli
Hata tv yao hawana vipindi creative na endelevu, vinaanza na kuishia njiani
Tv haina kipind kinachoeleweka muda wote ni muziki tena wa kurudia rudia, boss wao akifanya besdei wako live sijui nan kafanya nn wako live hawana msimamo kwa kweli yaan vurugu mechi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua tatizo wamekopy wasafi mbona wamekopi wengi.
Clouds e na Social Buzz-Wamekopi EATV kipindi alikuwa anatangaza Dominic Nyalifa.
XXL-Wamekopi Radio One kipindi hiko mtangazaji Aboubakar Sadiq.
After Skul Bash-Wamekopi Likizo Tyme ya Majizo.
Asikudanganye mtu kwa upande wa kuandaa vipindi vya TV vya burudani vijana EATV hawana mpinzani,TV nyingi wamekopi toka kwao.Ukija redio One 80% ya radio zite TZ wamechukua vionjo vingi kutoka kwao.
Sasa kwani kuna ubaya gani mbona ukisikiliza mtiririko wa redio nyingi wamekopi na kupaste,ila umewaona Wasafi.
Ila si shangai kuna watu wanaumizwa namafanikio ya mda mfupi waliyoyapata Wasafi Media,kwani ukizungumzia radio tatu zinazofanya vizuri Dar lazima Wasafi ipo na upande wa streaming Youtube wanaongoza.
Wewe vipi unanipangia cha kujibu? Hey u B*tch A*s Nigga Sipo hapa kumfurahisha mtu.Utashangaza sana ukikwepa hiyo ngumi kwa kuangalia redi yenye miaka 20 na yenye mwaka mmoja..acha mahaba ya kijinga
Jibu zuri ni kuwa wanaanza, watatengenesa vyao
Hii kujaribu kujustify ujinga ndio mnaishia kuwa mashoga na ma justification kibao
Toa credit basi, haka ka uzi si umekakopi kwangu mpwa?Hivinajiuliza hawa wasafi wameshindwa kuwa creative?
Mbna kila kipindi au mradi wanakopi?
Kuanzia kivumbi cup-ndondo cup
Block 89-fnl
Wasafi festival-fiesta
Superwoman-malkia wa nguvu
Sports arena-e sports
Refresh-e news/clouds e
Ifike pahala waache huu upuuzi, wanaboa kiukweli
Hata tv yao hawana vipindi creative na endelevu, vinaanza na kuishia njiani
Tv haina kipind kinachoeleweka muda wote ni muziki tena wa kurudia rudia, boss wao akifanya besdei wako live sijui nan kafanya nn wako live hawana msimamo kwa kweli yaan vurugu mechi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Radio gani hiyo?Mfano xxl kuna redio moja hvi inafanya hicho kipindi kule marekani
Sent using Jamii Forums mobile app