Media related vacancies

MwanaHaki

R I P
Oct 17, 2006
2,401
705
Greetings!

We have the following immediate vacancies for media professionals.

1) Three (3) editors for Kiswahili-language daily and weekly newspapers

2) Five (5) reporters for Kiswahili-language daily and weekly newspapers

3) Four (4) typesetting specialists, must be fully conversant with the following Apple Mac OS X software:

i) Adobe PhotoShop CS1-3
ii) Adobe Illustrator CS1-3
iii) Quark XPress or Quark XPress Passport (any version)

4) One (1) professional graphic designer, must be fully conversant with the above mentioned Apple Mac OS X software

Qualification:

For Editors and Reporters
1) Minimum qualification
- Advanced Diploma in Journalism and/or Mass Communication from
any local/national/regional academic institution in East Africa
- Fluency in both Kiswahili and English (working knowledge of
additional international languages will be an added advantage)

2) Experience
- not less than three (3) years working with any of local/national
media institution in East Africa

3) General
- knowledge of East Africa's media industry will be an added
advantage

For Typsetters and Graphic Designer:
1) Minimum qualification
- Graphic design/typesetting/page layout training from any accredited
institution
- Form VI leaver (higher academic qualification will be an added
advantage)
- Fluency in both Kiswahili and English (working knowledge of
additional international languages will be an added advantage)

2) Experience
- not less than three (3) years working with any of local/national
media institution in East Africa

3) General
- knowledge of East Africa's media industry will be an added
advantage

References: Not less than three (3). Provide full names, address, daily phone number and email address.

Remuneration: Commensurate with experience and academic qualification.

Mode of Application:

1) Letter of Application should be sent by email to info@strategos.co.tz
and should be:

- written in English language, explaining why you should be chosen for
the vacancy
- accompanied with your most recent CV

2) Academic Certificates

- photocopy and send as email attachments, along with your letter of
application all certificates of academic qualification

3) Application Deadline

- All applications must reach the advertiser by end of day, Monday,
November 30, 2009

4) Additional requirements

- scan and attach recent passport-size photograph
- scan and attach recent full figure passport

NOTE: If you do not understand any part of this announcement, YOU SHOULD NOT WASTE YOUR TIME APPLYING!
 
asante wenye sifa mjimwage
lakini kwa stahili hii ma-journalist mnaomaliza vyuo hapa hamna chenu ,no exprience no any thing waajairi muwe mnafikilia kidogo
 
asante wenye sifa mjimwage
lakini kwa stahili hii ma-journalist mnaomaliza vyuo hapa hamna chenu ,no exprience no any thing waajairi muwe mnafikilia kidogo
Kwani wewe vipi First Lady au uko above hizo requirements.
 
asante wenye sifa mjimwage
lakini kwa stahili hii ma-journalist mnaomaliza vyuo hapa hamna chenu ,no exprience no any thing waajairi muwe mnafikilia kidogo

Mikwara tu.

Hapo wanajaribu kupunguza msongamano wa waombaji tu!

Unaweza ukashangaa mwenye 5yrs xperience anaachwa na anachukuliwa wa 0 yrs xperience!
 
asante wenye sifa mjimwage
lakini kwa stahili hii ma-journalist mnaomaliza vyuo hapa hamna chenu ,no exprience no any thing waajairi muwe mnafikilia kidogo

Sometimes experience is not really relevant.... FirstLady!, if you feel you have the qualifications but lack the experience, TRY! You never know... be strong... be confident... believe in yourself... that is all we ask! :)
 
Mikwara tu.

Hapo wanajaribu kupunguza msongamano wa waombaji tu!

Unaweza ukashangaa mwenye 5yrs xperience anaachwa na anachukuliwa wa 0 yrs xperience!

Inawezekana pia kwamba wenye experience wote wakachomoa.
 
Kaka nashukuru kwa ushilikiano wako ila me jana nilifanya application abaada ya kuino hii post ila imekuwa ngumu sana nimepata failure massege leo asubuhi nimeiona je kuna jinsi ya kufanya nika tuma tena inanonekana email hii haipo
nijuze fasta kaka nichangameke.

Massage yenyewe ndiyo hii hapo chini: -

<info@strategos.co.tz>:
81.28.224.26 does not like recipient.
Remote host said: 550 The account does not exist. / Die Adresse existiert nicht.
Giving up on 81.28.224.26.

--- Below this line is a copy of the message.

Return-Path: <kilao1@yahoo.com>
Received: (qmail 87981 invoked by uid 60001); 30 Nov 2009 12:41:29 -0000
DKIM-Signature: v=1; a=rsa-sha256; c=relaxed/relaxed; d=yahoo.com; s=s1024; t=1259584888; bh=1IJbt7M5esIF77QRseNfLgT1wpjnL0b/5PXvboKWhqY=; h=Message-ID:X-YMail-OSG:Received:X-Mailer:Date:From:Subject:To:Cc:MIME-Version:Content-Type; b=NOGY++3TJVjyMRb6kbBi6K+y1DnpNesBqplrp0L6zZkD4vSjSB6TwloidLnT2OW48vuf2S8vldlrJcItfKoUcfsiSrFC6syFPjJlLP/SxIH81Ejtqfy8kD3TmZzQvgm2a1yPdkbdca+UTkRF2tjWXpcdZcyNYioZCx+kzFYsPIA=
DomainKey-Signature:a=rsa-sha1; q=dns; c=nofws;
s=s1024; d=yahoo.com;
 
mwanaHaki upo kaka naomba msaaada wako ili nifanikishe zoezi hili maana tarehe ime pita kaka
 
Kaka nimekubali kushindwa maana sina njia mbadala tena.
Ila nafikili hawa jamaa wanaweza kuwa walikosea kidogo ila nawasihi tena hapa kwenye Jamii yetu huwa hatutaki watu wanaokuwa tayari kuwa haribia wenzao maono.
Kama ni makusudi hili naomba lisijirudie tena maana watu tunatafuta kazi kwa muda mrefu sasa alafu wanatuyumbisha kwa email za uongo.
 
Usijali ndugu, matangazo mengine ni kuchoshana.
Kwa tangazo hili sijaona mahali wameeleza kituo cha kazi ni wapi, au mtu/kampuni husika ni ipi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom