Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 906
umeishaibias thread yenyewe anyway.. next time try without showing a bias. Unakujana na mada nzuri kweli huwa mwenyewe ndiyo unaziharibu toka mwanzo.
Please dont even go there
tofauti yangu na wewe, mimi sina gazeti wala redio lakini wewe unavyo vyote ambavyo at most umekuwa mstari wa mbele kuonyesha bias yako especially kufanya interviews na Dr MASAU ambayo ilikuwa so biased na one sided
so please give me a break na lecture yako kuhusu bias
Mengi vs Rostam NA wengineo. Hivi tumejifunza nini out of this saga kuhusus media ownership na responsibility in Tanzania?
Tuombe kuwa hiii itakuwa balanced view on this saga
naomba hii thread itatazama mwelekeo tofauti wa hii issue.
Mengi vs Rostam NA wengineo. Hivi tumejifunza nini out of this saga kuhusus media ownership na responsibility in Tanzania?
Tuombe kuwa hiii itakuwa balanced view on this saga
naomba hii thread itatazama mwelekeo tofauti wa hii issue.
ohhh please, its you and not me who have been championing vendettas through your rag (cheche) and your KLH news radio...in my opinion i think you and your medium (KLH NEWS & CHHECHE) are just good at nothing but SOCKPUPUPPETING and if you didnt know what it is...sikujua kuwa you hold me as your role model!
you need to learn to let things go... on owning media.. na wewe una uwezo ukipenda wa kuown chochote unachotaka... and run the way you want. But the logic kuwa kwa vile kuna watu wana bias kwenye vyombo vyao na wewe uwe bias ni logic ambayo defeat the whole idea..so.. from one biased individual to another.. keep it up.
The act of creating a fake online identity to praise, defend or create the illusion of support for one's self, allies or company.
It goes on to list examples of noted individuals who have been caught sockpuppeting over the years. Is that list about to lengthen ? I guess so considering your Mumbo Jumbo supermarket journalismThe key difference between a sockpuppet and a regular pseudonym...is the pretense that the puppet is a third party who is not affiliated with the puppeteer.
-Rostam alikuwa amlipue Mengi kabla ya December 2008 hivyo data zake zote zilikuwa sawa kipindi hicho. Kwa maana nyingine walikuwa wakiwindana.
-Mengi alipata taarifa ya kutafutwa akihakikisha anafukia mashimo kipindi hicho.
-Mengi analipa wafanyakazi wake mishahara midogo alafu na kurudisha kwa kutoa so called misaada na dinner party.
-Rostam hatoe dinner party lakini nalipa mishahara mizuri wafanyakazi hako hivyo serikali inapata kodi stahiki kupitia PAYEE na serikali kujipangia yenyewe itumie je.
-Mengi ana facts za kujitea yeye kwamba sio fisadi nyangumi lakini hana facts za ku-prove kwa nini Rostam ni Fisadi Papa.
-Mengi ni mfanya biashara mtaalamu wa kutafuta huruma kutoka kwa wananchi wakati ushindani wa biashara ukiwa mgumu.
-Mengi ana kampuni fisadi inaitwa Ache Mwedu. Na hii haipigiwi chapuo kama IPP... ili kuficha madhambi. Bila Rostam mimi nisingeifahamu.
-Whether Ache Mwedu ilishinde rufaa au ishinde ukweli ni kwamba 5.8 billion zetu zimezama.
-Rostam is smart.
-Rostam alikurupuka kutumia data za December kudhani bado ziko vile vile... kesi aliyoipeleka Mengi Rostam atashindwa.
-Mengi hana moral authority ya kupiga vita ya ufisadi though ni Mzalendo.
-Mengi ana very few successfully business.
-Mengi ataingia kwenye siasa muda si mrefu... especially kama competion kwenye business itaendelea kuwa kali.
Lakini mbali na hayo, ngoja niwachekeshe kwa kuwaeleza jinsi mtu huyu alivyokubuhu katika kujenga chuki na fitina kwa kujifanya mtetezi wa wale anaowaita wazawa, huku akiwa na lengo la kujinufaisha binafsi kwa kutumia mgongo wa chuki na fitina hizo anazopandikiza.
Mwaka 1994, alitoa kauli zake zenye sumu ya ubaguzi pale alipodai kwamba sehemu kubwa ya maeneo ya katikati ya Jiji la Dar es Salaam inakaliwa na Watanzania wenye asili ya Kiasia na kwamba wazawa hawapo katika maeneo hayo.
Aliyekuwa Rais wakati huo, Mzee Ali Hassan Mwinyi, akamuagiza Waziri aliyekuwa akishughulikia masuala ya ardhi, Mheshimiwa Edward Lowassa, kumpatia Mengi eneo kubwa la ardhi katikati ya jiji karibu na ilipo International House. Lakini mara tu alipopewa eneo hilo akaliuza kwa Fida Hussein, mfanyabishara Mtanzania mwenye asili ya Kiasia. Huyo ndiye Reginald Abraham Mengi,
-Rostam hatoe dinner party lakini nalipa mishahara mizuri wafanyakazi hako hivyo serikali inapata kodi stahiki kupitia PAYEE na serikali kujipangia yenyewe itumie je.
Mengi vs Rostam NA wengineo. Hivi tumejifunza nini out of this saga kuhusus media ownership na responsibility in Tanzania?
Tuombe kuwa hiii itakuwa balanced view on this saga
naomba hii thread itatazama mwelekeo tofauti wa hii issue.
Mimi hapa ndipo paliponichosha kabisa:
btw Rostam ni OXFORD grad...
Uwongo uliokubuhu. Kumbe tunalipwa vizuri kupitia kwako? Leta pesa zetu wewe kasheshe.
Wakati wa mishahara ya sector Madini ilikuwa 350,000 Caspian Mining Ltd ilidai kuwa walisajiliwa kama construction wakati ndo wachimbaji halisi.
Tumenyamaza tu kwa kuwa sio hoja ya msingi hii
Not only that...Be serious Rostam ni Oxford Grad? please tell us another lie...
nimejifunza kwamba
1. watanzania wako so bias na most of us are a bit stupid.
2. watanzania wakishindwa kujitetea wanaingiza rangi na dini.
to me the whole of this saga ni kwamba imenionyesha true colour of some tanzanians. It is so sad people cant judge things as they are. Watu kama wee mkuu GT kila siku unaingiza dini na rangi....you have really broke my heart.
I used to odore you ila sasa i really dont know who you are anymore, mdini, mkabila au mrangi. xox
hii ndo mpya niliyo jifunza sasa hivi, kwani caspian ni wachimbaji wa madini? mgodi upi? royality & other taxes wanalipa? ama ni another deep green?