TANZIA Medi wa Ngara Oil afariki Dunia

Wapi alisema hakuna ugonjwa?
Halafu akisema upo au haupo ndio inaondoa ukweli na uhalisia wa huo ugonjwa? Huko kwenye matangazo daily ndio ugonjwa umeisha kwa matangazo ya Rais?
Chuki ZINGINE zihamishie shambani

Wewe hujasikia wakisema haupo? Akisema haupo ana hadaa watu. Kumbuka ugonjwa huu unataka mtu kujilinda ili alinde na wengine. Kuanzia hapo tu hilo ni tatizo.

Pili kwenye kuepuka misongamano kwenye ma ferry, mabasi, magulioni, masokoni nk. Tunalifanya vipi hilo bila serikali ambayo pia binafsi kofi?

Vipi kwenye kuwahami wazee na wale wenye magonjwa mengine. Tunalifanya je hilo nalo bila ya mpokea kodi.

Chuki zipi unaongelea si awakabidhi haya wataalamu wa afya.

Hatutaki kufa kizembe hivi kama ambavyo kwa hakika itakuwa kama tutamnyamazia huyu bwana.

Na tupaze sauti kwake: we can't breathe!
 
Mnapenda sana hizi taarifa za misiba sijui mnafurahia ama? So boring

Mnaumiza ndugu jamaa na marafiki kwa ushabiki wenu wa kijinga.

Acheni kufurahia vifo vya wenzenu
Well said mkuu,
Yaani wamekuwa kama chama cha wachawi.Tunatakiwa tufurahie maisha na sio vifo!
 
Well said mkuu,
Yaani wamekuwa kama chama cha wachawi.Tunatakiwa tufurahie maisha na sio vifo!
Kwani kupeana taarifa za vifo ni kufurahia vifo?

Kipindi cha matangazo ya vifo ni kipindi cha kufurahia vifo?

Kwa nini hampendi ukweli kwamba watu wanakufa na wakifa watu wanataarifiana kuwa watu wanakufa?

Mnaogopa kufa kiasi hamtaki kusikia habari za vifo?

Watu wakifa, halafu habari za vifo zikapigwa marufuku, ndiyo hamtakufa? Kifo kitawaogopa kwa sababu hamkitaji?

Kama mnaogopa habari za vifo, kwa nini mnazisoma?
 
Vifo vimekuwa vingi, hata watoto wadogo wanakufa.

Hali ni mbaya. Japo huko juu wanakaa kimya ila hali haiko sawa.

Tumeanza kuwa na hofu sasa.

Mwambieni Mheshimiwa aseme kitu, atutie hata moyo wapiga kura wake, au yeye anaona ni sawa tu, sasa tukifa wote kwani yeye atapona ? Pia apunguze ukali, siyo kila kitu kutufokea, hata akiongea tunaelewa tu.
Mzidi kuchukua tahadhari sasa
Vp tutakwenda kwenye show ya koffie mopauu

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Vifo vimekuwa vingi, hata watoto wadogo wanakufa.....
MAMBO MENGINE NI KUJIONGEZA TU.

TAHADHARI WENYEWE TUCHUKUE HATA AKISEMA,ATASEMA NINI ZAIDI YA WATU KUCHUKUA TAHADHARI?

NAWA MIKONO,VAA BARAKOA,EPUKA MISONGAMANO ISIYOKUWA YA LAZIMA.

PIGA NYUNGU ZAIDI YA HAPO HAMNA KITU.

AU MNATAKA LOCKDOWN

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Kwani kupeana taarifa za vifo ni kufurahia vifo?

Kipindi cha matangazo ya vifo ni kipindi cha kufurahia vifo?...
Hakuna utukufu wowote mbele za Mungu kwenye pre matured deaths.Kifo halali mbele za Mungu ni kufa kwa uzee period!
 
Hakuna utukufu wowote mbele za Mungu kwenye pre matured deaths.Kifo halali mbele za Mungu ni kufa kwa uzee period!

Uzee unaanzia miaka mingapi? Unajuaje hao wanaotajwa kufariki wote si wazee?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo na si hadithi za watu tu?
 
Mnapenda sana hizi taarifa za misiba sijui mnafurahia ama? So boring

Mnaumiza ndugu jamaa na marafiki kwa ushabiki wenu wa kijinga.

Acheni kufurahia vifo vya wenzenu
Hapo kosa liko wapi kutuhabarisha?
 
Salaam

Kwa majonzi makubwa, nimesikitika kupokea kifo cha Mmiliki wa Vituo vya Mafuta vya Ngara Oil.

Ameugua kwa Muda mfupi, leo kakodi ndege kwenda Dar kwa Matibabu zaidi, kifo kikamkuta huko.

Mbele yetu nyuma yake.

Bob Marley neno la Mwisho alomwachia mwanaye ni kwamba hela haiwezi kununua Uhai. Money can not buy a life.

Pumzika kwa amani Kamanda.

Vifo vinagusa sana jamii yetu. Omba sana usipate msiba kwako.

View attachment 1694721
Ninachokiona yaani mwaka huu Jan 2021 hadi sasa Ndugu zetu wenye asili ya kiarabu wamefariki wengi sana na karibia wote chanzo cha vifo vyao vinafanana wanaugua ghafla kwa dalili zilezile na wanafariki ninajiuliza kulikoni?
 
Alikodi ndege kakimbilia Dar, kumbe nacho kilikua kimepanda ndege hiyo hiyo.
Unanikumbusha ile story kifo katika mji fulani kiliona kina appointment na jamaa aliyekuwa mji wa mbali sana, na kikashangaa itakuwaje kiwe na appointment na jamaa yuko mbali vile na hakina mpango wa kwenda mji alioko? Kumbe kuna kitu kingemfanya jamaa akimbie kuokoa maisha yake na kwenda kwenye mji kifo kilikuwapo!
 
Mnapenda sana hizi taarifa za misiba sijui mnafurahia ama? So boring

Mnaumiza ndugu jamaa na marafiki kwa ushabiki wenu wa kijinga.

Acheni kufurahia vifo vya wenzenu
Bora hata umepigwa ban, ningetamani kama ingelikuwa ni life ban
 
Unanikumbusha ile story kifo katika mji fulani kiliona kina appointment na jamaa aliyekuwa mji wa mbali sana, na kikashangaa itakuwaje kiwe na appointment na jamaa yuko mbali vile na hakina mpango wa kwenda mji alioko? Kumbe kuna kitu kingemfanya jamaa akimbie kuokoa maisha yake na kwenda kwenye mji kifo kilikuwapo!
Umesoma novel za Jeffrey Archer.
Jamaa alikua Baghdad kaenda mji wa pili, kumbe kifo nacho kilikua na udhuru kwenye huo mji wa pili
 
Mnapenda sana hizi taarifa za misiba sijui mnafurahia ama? So boring

Mnaumiza ndugu jamaa na marafiki kwa ushabiki wenu wa kijinga.

Acheni kufurahia vifo vya wenzenu
Wabongo kweu ni misiba, vifo na kuzika, tuko tayari kukacha kazi sababu ya haya mambo, na ndiyo maana foreigners wanapendwa na wawekezaji zaidi kuliko sisi na mauvivu yetu, kisa kupenda mpunga na kuzogoa...
 
Mnapenda sana hizi taarifa za misiba sijui mnafurahia ama? So boring

Mnaumiza ndugu jamaa na marafiki kwa ushabiki wenu wa kijinga.

Acheni kufurahia vifo vya wenzenu
Wanabore kinoma Kama vile wanashangilia mtu kufa
 
Back
Top Bottom