Medard Kalemani kazi nzuri aliyoifanya nishati anaondolewa ili Makamba aingie kumalizia kiulaini na sifa ziwe zake kuelekea Urais 2030

troiker

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
1,430
2,264
Kalemani akiwa Waziri wa Nishati kapambana sana chini ya hayati Magufuli kukomesha mgao wa umeme ,kadhalika kusambaza umeme vijijini kwa bei nafuu kabisa.

Usimamizi mzuri wa JNHP huko rufiji.

Baada ya Samia kukamata hatamu tumeshuhudia nguvu ya matajiri kupanga safu maeneo nyeti ya raslimali za nchi, baadhi ya mawaziri kudharauliwa wakiandaliwa ajali za kisiasa mbalimbali.

Hakika muda mchache ,ukiona mwenzako ananyolewa tia maji nywele zako.
 
Baba tulia yameshatimia sasa huwezi jua kakosea wapi, hebu uliza anayesambaza nguzo za mradi wa REA Nchi nzima ni nani ukimjua njo hapa jukwaani tuendelee kujadili
Sihitaji kumjua ,ninachohitaji ni kuona umeme unawafikia wananchi wote mjini na vijijini kwa bei nafuu, pia serikali ikitumia gharama nafuu,over
 
Kama inakuja inatoka lakini naona kuna ukweli kwa mbali......... Hivi Mh. Ridhi hajafuzu kugombea 2030 au tusubirie kupokezana kijiti 2040?
 
🔉 akammaliza kabisa kwa kumuambia SSH kwamba kule Kongwa umeme unakatika × 30 per day...🤣
Yule baba ni mnafiq sana wallah...😜
 
Back
Top Bottom