Katika hizo mechi tatu, Simba imeingiza (257 + 197)=454M, huku Yanga ikiingiza sh. 320M. Kwa hiyo Simba imeingiza mapato mengi, na ni kwa sababu Yanga haiwezi kufikia level za kucheza na Orlando PiratesHapa ndipo inapojulikana tofauti Kati ya timu ya WANANCHI na timu ndogo ndogo ( vikundi vya wahuni).
Derby ya YANGA vs SIMBA ambayo mwenyeji wake alikuwa Ni MWANANCHI imefanikiwa kuingiza pesa ndefu kuliko mechi zote msimu wa 2021/2022 hata zile za MAKOLO walizocheza kule mjini ...
Kawaida Yanga uwa inaongoza,hata ripoti ya tff ya mapato kwa msimu uliopita pamoja na Yanga kutofanya vizuri lakini iliongoza kimapatoKatika hizo mechi tatu, Simba imeingiza (257 + 197)=454M, huku Yanga ikiingiza sh. 320M. Kwa hiyo Simba imeingiza mapato mengi, na ni kwa sababu Yanga haiwezi kufikia level za kucheza na Orlando Pirates
Mkuu...koo unabishana na takwimuManara karudia Yale Yale ambayo alikuwa anafanya Nugaz, uwanja unajazwa na Mashabiki wa Simba alafu yeye anajipa pongezi Kwa kuhamasisha kujaza uwanja
Kwa hii miaka ya karibuni, game za derby zote haijarishi Simba ni mwenyeji au Yanga ni mwenyeji, bali mashabiki wa Simba watakuwa wengi tu na sijui Yanga waga kwanini hawajitokezi Kwa wingi kama kwenye siku ya wananchi
Imefkia hatua viongozi wa Yanga kama Senzo na muhamasishaji Manara wanapost picha za uongo ili kuaminisha watu kwamba mechi ya Juzi Yanga walikuwa wengi kuliko Simba, ni aibu kwa viongozi kujaribu kupotosha kwani kasumba ya Yanga kutoingia wengi kwenye derby haijaanza Leo
Senzo na Manara wanatumia picha za siku ya wananchi ya mwaka Jana kuaminisha watu kwamba walijaza uwanja kitu ambacho sio kweli, wao wajikite katika kuboresha team na washabiki watakuja Tu wenyewe kama ilipofkia Kwa mashabiki wa Simba
Simba hawajafanya promo yoyote ili mashabiki waende uwanjani hadi Bumbuli akalalamika kuwa Simba Wana roho mbaya hawataki kuipromo derby kwa sababu wanajua Yanga watapata pesa nyingi
na of course ni kweli Simba walikuwa wanajua Tu mashabiki wao ndio watajaza uwanja ata kama wao sio wenyejei na ndio kilichotokea, robo Tatu ya uwanja ilikuwa ni mashabiki wa simba, kwahiyo hii game kuongoza Kwa mapato sio ajabu maana huo ni mwendelezo wa kila msimu Kwa Yanga kunufaika na Mashabiki wa Simba
Kwahiyo kama Manara alikuaga anadhania mashabiki wa Simba wanajaa uwanjani Kwa ajili yake alikuwa anapotea, pamoja na kufanya tour kila Media ila alichoambulia ni number ile ile ya siku zote Kwa mashabiki wa Yanga, Kwa lugha rahisi zaidi ni kwamba katika swala la mashabiki kuingia uwanjani hajapunguza chochote kwa Simba na wala hajaongeza chochote kwa Yanga
View attachment 2208272
View attachment 2208273
Hoja yangu ni kwamba, inaongoza kwa mechi ngapi? Kumbuka hapo zimetajwa Yanga, Simba na Orlando tu, lakini ilikuwapo Jwaneng Galaxy, Red Arrows, Berkane, ASEC na USGN, pamoja na RiversKawaida Yanga uwa inaongoza,hata ripoti ya tff ya mapato kwa msimu uliopita pamoja na Yanga kutofanya vizuri lakini iliongoza kimapato
Katika hizo mechi tatu, Simba imeingiza (257 + 197)=454M, huku Yanga ikiingiza sh. 320M. Kwa hiyo Simba imeingiza mapato mengi, na ni kwa sababu Yanga haiwezi kufikia level za kucheza na Orlando Pirates" layout="fill">
Wala sio uongo ni kweli aliongoza ila ni msimu uliopita Tu na sio kawaida yao, na aliongoza Kwa sababu ya mashabiki wa Simba kuingia wengi kwenye derby zote 2, Yani haijarishi Yanga ni mwenyeji au mgeni bali mashabiki wa Simba ndio huwa wengiKawaida Yanga uwa inaongoza,hata ripoti ya tff ya mapato kwa msimu uliopita pamoja na Yanga kutofanya vizuri lakini iliongoza kimapato
Juzi ameweka picha ya mashabiki siku ya Yanga Day akidai ni picha ya derby ya juzi, bahati nzuri watu wakayashtukia maspika ya Koffi Olomide 😂Data za kupika za haji manara ila ajifurahishe nafsi yake ili aonekane yeye ni bora kuliko wengine ila manara kama ni kichaa basi ni ile stage ya mwisho kabisa.