Mechi ya Yanga vs Namungo Nkane hakucheza,Siyo match fixing?

Katika siku ambayo jamaa kaonesha ukiazi ni leo. Jamaa katoa boko na hiyo ni hali ya kawaida sana kutokea kama moyo umejawa na chuki maana kazi kutafuta sababu tu. Dabil Yanga msimu huu wamekufanya uwe na gubu
sawa ukiazi kwa jinsi unavyowaza wewe mkuu,Yanga iniweke roho juu kivipi,point 2 tu wakati tulichukua ubingwa msimu uliopita na mko mbele point kama 10
 
Timu inapoweka key player wake nje bila sababu,siyo majeruhi,haumwi,hamna sababu za kifamily halafu anacheza na mdhamini wake Ina maana gani?
We jamaa kumbe mweupe kabisa! Umejaa ushabiki wa kitoto
 
Hakuwa majeruhi na hakupangwa kwenye mechi ,leo kasajiliwa na Yanga,kama siyo match fixing ni nini?
Yanga vs Biashara ,siyo Namungo
Ndo maana tunakataa mmiliki wa timu awe mdhamini wa ligi.
Full nonsense!! Takataka kabisa hii, kama ujui kitu kaa kimya!
 
Inakuaje hebu elezea maana hata kinyume chake pia ni sahihi, what if hawakumpanga wakihofia kua atacheza kinazi (chini ya kiwango) kuhofia kuwaadhibu waajiri wake watarajiwa?! Lakini pia huoni kua tayari kisaikolojia akili ya dogo iko Yanga halafu umchezeshe against waajiri wake watarajiwa unadhani atakua na utulivu kweli uwanjani?! Kwa mtizamo wangu kutomchezesha ni bora zaidi kuliko km angecheza, maana ingetokea hata amesababisha penalty au red card lazima napo ingeonekana ni match fixing
Mkuu hongera sana, umedadavua vizuri. Saikolojia ya mchezaji ni muhimu sana kwenye mchezo wa mpira wa miguu. Biashara waliliona hili ndio maana hawakutaka kumchezesha. Maana maamuzi yake uwanjani yangetegemea zaidi kwenye kuisaidia timu yake mpya. Hii inanikumbusha mwaka fulani Mrisho Ngassa alikuwa mchezaji wa Simba, kukawa na mechi ya Simba vs Yanga na kipindi hicho hicho Ngassa alikuwa anahusishwa na kujiunga na Yanga. Siku ya mechi Ngasssa alikuwa anaipangua ngome ya Yanga na kutoa pasi za hovyo badala ya kufunga. Kwangu mimi nawapongeza Biashara United kwa kuliona hilo.
 
Timu inapoweka key player wake nje bila sababu,siyo majeruhi,haumwi,hamna sababu za kifamily halafu anacheza na mdhamini wake Ina maana gani?
Kubali tu hoja yako haina mashiko. Na imekaa kishabiki na kihisia zaidi. Biashara united ina wachezaji zaidi ya 20! Na uwanjani wanacheza wachezaji 11! Sasa hayo mamlaka ya kulazimisha benchi la ufundi kupanga wachezaji unao wataka wewe kwenye mechi zao, umeyapata wapi?
 
20211231_102210156758.jpg

wanatuharibia ligi hawa wapuuzi
 
Ndo maana tunakataa mmiliki wa timu awe mdhamini wa ligi.
Hivi Azam na GSM ni nani anayemiliki timu?! Kusoma hamjui, ina maana hapa picha ukutani hamulioni? Yanga anakula mabilioni ya Azam Media na bado Azam FC ametandikwa na Yanga, kama ambavyo mwaka jana Yanga alivyokuwa ametandikwa na Coastal wakati hao hao mnaowaita wamilimiki wa Yanga wakiwa wanaidhamini Coastal!

Tatizo mnawaza kizamani sana nyie Makolo!
 
Haya ndio matatizo ya kuzaliwa na wazazi walevi!
na hata akili inakaa kilevi levi
 
Hakuwa majeruhi na hakupangwa kwenye mechi ,leo kasajiliwa na Yanga,kama siyo match fixing ni nini?
Yanga vs Biashara ,siyo Namungo
Ndo maana tunakataa mmiliki wa timu awe mdhamini wa ligi.
Hivi kwani Bakhresa hana timu ligi kuu!?
Hivi hajadhamini ligi!?

Hii nchi vilaza kuisha ni mpaka aje Nyangumi mtakatifu,huyu Papa kafeli.

Mnashangaa Hersi kuwa uwanjani na kushangilia goli,hamjamuona Bakhresa uwanjani kwenye mechi ya Azam na Mbeya City!?
 
Back
Top Bottom