Mechi ya VPL, Kariakoo Derby | Simba SC Vs Yanga SC | Uwanja wa Mkapa Yaahirishwa

Mubashara kutoka Estadio Benjamin Mkapa
IMG_8472.jpg
 
Simba nao wameshaingiza Timu uwanjani. Kuna maandalizi ya uzinduzi wa kitabu cha Rais mstaafu Mzee Mwinyi.

Viongozi wa Yanga watumie busara tu hii game ichezwe
 
Viongozi wa Yanga na mashabiki wao wanafanana kitabia na wale mashabiki wa Man UTD.

Kisaikolojia hii game kama itachezwa, Yanga itafungwa goli nyingi. Maana tayari washatoka mchezoni
 
Simba nao wameshaingiza Timu uwanjani. Kuna maandalizi ya uzinduzi wa kitabu cha Rais mstaafu Mzee Mwinyi.

Viongozi wa Yanga watumie busara tu hii game ichezwe
Kwanini itumike busara badala ya taratibu na sheria?
 
Utopolo wanatoa timu uwanjani hapa..

Mimi kama mshabiki wa msimbazi nasema wana haki.. Viongozi wasituletee siasa za kipuuzi katika soka.. Ni ujinga mtupu.
 
Kwanini itumike busara badala ya taratibu na sheria?
TFF imejivua kwenye lawama. Hayo ni maagizo ya Waziri wa michezo.
Kugomea maagizo ya mamlaka ni wazi viongozi wa Yanga wataadhibiwa.

Ili wawe salama ilitakiwa na Timu ya Simba nayo ingegomea.
 
Back
Top Bottom