Mechi ya ugenini yamponza jamaa.. Ushauriii !!!!!!!!!!

Mechi ya ugenini yamponza jamaa.. Ushauriii !!!!!!!!!!

mpeleke jamaa yako akaombewe kama ni nguvu za giza zitashindwa. vinginevyo labda amempenda kwa dhati na pengine ndio mipango ya mungu kuwakutanisha kwa staili hiyo.

Huyo Mungu unaemuhisi kuwa huenda kawakutanisha kwa njia ya ngono, kwangu mimi ni shetani.

Nakiri hadharani kuwa "Mungu huyo ni shetani kwangu"
 
Huyo jamaa yako akome kuparamia watu...vingine muachage vipite tena mbali kabisa..
Ila hapo aende katika maombi maana si salama hapo alipo
 
huyo akaombewe..mdada kamkomesha sijuwi ndo wanasema amempa majini mahaba... Teh.. Hiyo inaitwa ukome kuonja!!! Its not fair at all
mmh, haya bana, kwakweli ni hatari tupu, na hii hutokea mara nyingi let him learn from it
 
keshakamatwa hapo yeye alie tu!!! tena kamkamata utamu dah!!!!
mpeleke jamaa yako akaombewe kama ni nguvu za giza zitashindwa. vinginevyo labda amempenda kwa dhati na pengine ndio mipango ya mungu kuwakutanisha kwa staili hiyo.
 
Wakuu kuna frend wangu alikua anasumbuliwa na binti mmja wa kimakuwa ki ukweli jamaa alikua hamtaki na wala hana hisia zozote kwa binti na Ukitegemea tayari alikuwa na mupenzi wake na wanataraji funga ndoa mwakani. Baada ya binti kumtongonza jamaa bila mafanikio kwa wiki karibu 3 ndo BINTI akamua kumwambia jama kwamba kama hamtaki basi anaomba japo mechi moja ya ugenini alafu baada ya hapo hatamsumbua tena. Kwa kua jamaa alikua ameshachoshwa na usumbufu na akaona baada ya kumtimizia hicho basi usumbufu utaisha kutoka kwa yule binti.

Sasa baada ya gemu sijui jamaa alilamba sukari gani, jamaa angu amedata na mahaba ya yule mmakuwa anaanza kumpigia simu usiku kucha na binti kakaza anamwabia walikubaliana game moja mbona anakiuka makubakiano jamaa sa vi kawa kama chizi juu ya penzi la mda mfupi la yule binti.. jamaa kila siku nyumbani kwa binti akipga magoti na kumbembeleza wawe wapenzi na hatimaye wafunge pingu za maisha za maisha. Demu analeta poz na hana mda na jamaa..penz la mda mfupi limemsahaulisha yote waliopanga na mpenz wake.

Nmeshindwa kutoa ushauli koz cjaelewa kama ni penzi la nguvu za giza au ni ufundi wa binti ndo umendatisha. pliiiiz ushauri

Hii sijawahi sikia, ila kwa maelez yako kuna chezo limechezwa hapo! Kama binti alimpenda mpaka akaomba mechi moja tu, haiyumkiniki amkatae mahbuba wake!
Mi naadhani unahitaji ushauri wa wazee, manake waliona mengi, tafuta mzee mwenye busara (Ma alwatani) akusaidie ushauri umuokoe jamaa yako, manake anakokwenda siko na asiposhituka mapema imekula kwake mazima
 
Hawa mabinti wa kusini si wakutest kama una mtu wako aisee hii michezo wanaijua sana yani kiukweli hua ni mafundi wa michezo huyo ajarogwa wala nn ni ufundi tu kweli nawaambia!
 
Tungemshauri kabla hajaonja hapo tena no alternative aburuzike tu
 
mademu wa kimakua ni balaa hasa ukiwapata wa msumbiji wanautamaduni wao ambao huzibadilisha sehemu zao za siri wao wanaita matuna ukija kutana nao ni balaa niliwa kukutana na binti mmoja ni balaa inawezekana wakawa mademu bora zaidi kwa niliyowahi kuwaona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom