Abu_yazid
JF-Expert Member
- Mar 28, 2014
- 3,435
- 4,254
Saa 2 usikuHii mechi inaanza saa ngapi. Tuambiane jamani wengine tunaishi vijijini.
a.k.a shibekijijini
Saa 2 usikuHii mechi inaanza saa ngapi. Tuambiane jamani wengine tunaishi vijijini.
a.k.a shibekijijini
Nimeona 3imba iliyoipeleka Yanga CAFCL ikishinda 4-0 isipokuwa magoli 3 yalipeperuka yakaenda kwa wapinzani wake.Simba hii iliyoipeleka Yanga CAFCL.
Saa kumi kamili Galaxy anaenda kupigwa 4-0